TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Yeah diamond wengi wanamchukia sijui kwanini,maana ameajiri na bado anaendelea kuajiri ko youth unemployment rate inapungua na kusolve tatizo la employment he is the king.
Ninachokiona mimi sio kama watu wanamchukia Diamond. Ukweli ni kwamba watu masikini hawampendi mtu yoyote mwenye mafanikio! Ukishakua na mafanikio tu unageuka kuwa adui namba moja wa watu masikini ambao ni wengi hapa nchini. Na hii sio kwa wasanii tu, bali hata kwa viongozi, wachungaji, wafanyabiashara n.k ukishakua na mafanikio ni kosa.