Diamond jitathmini upya! ‘kokoro’ imekuvua nguo mshkaji wangu

tena matusi yake ni ule mchezo wa kula kijambio...mara sikjui kitandani sodoma,mara kwenye msambandwa mi siendi,mara chuma matembele
 
tena matusi yake ni ule mchezo wa kula kijambio...mara sikjui kitandani sodoma,mara kwenye msambandwa mi siendi,mara chuma matembele
Kijambio kinapendwa siku hiz unakumbuka ile video ya yule mdada ndan ya Gari anarekodiwa anaulizwa bei ya show time kwa siku pamoja na kijambio akasema 100,000 per night
 
Inakiki BBC extra radio,Trace huko,MTV,sound city,wewe mchimba chumvi unatuambia nini,akiimba ukimuona mnasema kaswida,DIAMOND WANYOOSHE MZEE.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] huhuhuhu
 
Leo ndio unaona au Macho yanafunguka kwamba hajafanya kitu kizuri-wasanii watakujibu vyema,kwamba soko la sasa linataka hivyo.

Mbona muda sana wasanii walio wengi Nyimbo zao ni kusifu ngono na Pombe na kuhamasisha uzinzi na Jamii yetu wanazikubali..

"Sawa wanapata pesa vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya Kansa"
 
Watu wana maneno, eti unazunguka kama dawa ya mbu yakuchoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

We nae kwendraaaaaaaaa
Kina 50cent, Dr Dre, justin beiber, trey songz n.k daily wanatoa videos zenye kukosa maadili na bado one of their biggest fans ni wanawake, itakua diamond na hiyo kokoro.? Muacheni Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…