Diamond, Jokate WAMWAGANA !

Diamond, Jokate WAMWAGANA !

Mtanzania ukishapa vijisenti hasa wasanii, kutwa nzima unawaza ujirushe na manzi gani! Huu ni umaskini uliokithiri... Mapenzi yenyewe ya kiduanzi tu, damn!!
 
Mtanzania ukishapa vijisenti hasa wasanii, kutwa nzima unawaza ujirushe na manzi gani! Huu ni umaskini uliokithiri... Mapenzi yenyewe ya kiduanzi tu, damn!!

Wana hela gani hao maskini tu!! Vinguo vya kichina na magar ya ml 8 wanajiona mataita..SMH
 
mmmh yetu macho na masikio
FirstLady1 chezea jamaa ana dola za kwa Obama na anaendesha hammer ,mtoto gani wa kike mzuri akililess asiyependa maisha hayo haa haaa haaa.....nami pia nafuatilia kwa vidole vyangu na macho kwenye mitandao ya kijamii haa haa haaa
 
Last edited by a moderator:

ha ha hivi Mwakalinga siku hizi hakuna true love tena??
maana haya mambo yanayoendelea ..na maisha ya warembo wa mjini kila mtu anataka aonekane yuko juu kama mawingu.Tabu kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mh!diamond naye haji2p..kawala 2006 wte,cjui kuna cri gan apa kati!! 2subri wa 2007 atawathubutu..!
 
Kwataarifa yenu tu ...Jokate na Diamond hawakuwahi ku date..nimekua nikilisema hili jambo sana si tu kwakua na urafiki nao lakini nikitu ambacho media inashobokea lakin hakina umuhimu wowote..

Wewe hata siku moja usimuwekee dhamani mwanamke, mwanamke hunaweza kumfumania kitandani akakubishia akakuambia hatujfanya tulikuwa tumelala tu.
 
Hivi Diamond na huyu jamaa wanaundugu au ujamaa?
Aaaaa.jpg
 
Back
Top Bottom