Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Watu walipe kodi habari ya ujanja ujanja tupa kule, kila anayedaiwa alipe hakuna kubebana hapa.
 
Dimond ni nani kwani kwa hii nchi aisha zoea kwenda ikulu kama anaenda chooni nafasi hiyo haipo tena Aisha zoea kutolipa kodi nw anatakiwa alipe anahoji kuhusu chama tawala AENDE ZAKE
 
Kama anafurahia kujitangaza kuwa ni billionea kwa nini asilipe kodi?
Kama anakipato halali, ni wajibu wake kama mtanzania kulipa kodi.
Kama hesabu za shughuli zake zipo vizuri, kwa nini asilipe kodi?
Ni kweli wanadhumumiwa kwenye mapato ya caller tunes lakini si sababu ya kutolipa kodi.
Harafu anaonyesha upeo finyu sana. Haijalishi yupo chama gani, kodi lazima ilipwe. Kama yupo CCM ili asilipe kodi, amepotoka sana!
 
Kioo hakidanganyi maaaa..ukijipodoa umepodoka maaa...
 
Wantekenya ntekenya wasalome........wantekenya ntenkenya maaaa......
Simama kama mkongoti Diamond ulipe kodi....mambo gani ya kukimbizana na TRA....
hiyo michezo ya jogooo.....
 
Alijuta kabisa kwenye kipindi cha jahazi na Ndio alikua mkusanyaji mkubwa wa kura za ccm hili Ni gumu sana
Wafanyakazi vanavyokatwa PAYE kwenye mishahara awaumii,kwanza zile pesa walizopewa kwenye kampeni walilipa Kodi na walizitumiaje?.TOT awajajuta tu?.Natamani na wao wajute huku wakilipa kodi kwa kila show.Hapa kazi tu,natulipe kodi na naona TRA hii kodi awaikusanyi vizuri natamani wakakague mahesabu upya ya radio Uhuru na gazeti lake ya miaka 5 iliyopita kujiridisha kodi stahili iliyolipwa bila kisahau viwanja vya michezo na majengo .Ova.Tufanye kazi na kodi tulipe.
 
TRA akizingua uzeni madale,,yeye na wasanii wenzake kina kiba wanapaswa kulipa kodi kama raia wengine wa Tanzania,.mtu mwenye utajiri wa bilioni nane za madafu hawezi kulalamika hivyo ,muziki ni biashara kama biashara zingine wanazotoza kodi,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…