Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah..hivi kulipa kodi ni kuisoma?[emoji15]Alipe kodi kwanza kwani ndio muda muafaka wa kuanza kuisoma namba na tunaisoma wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..hivi kulipa kodi ni kuisoma?[emoji15]Alipe kodi kwanza kwani ndio muda muafaka wa kuanza kuisoma namba na tunaisoma wote
Kwanini alalamike wacha alipe na wewe Kama haulipi kalipe kodi kwa maendeleo ya taifa hakuna maisha ya ujanja ujanja sasa hiviDah..hivi kulipa kodi ni kuisoma?[emoji15]
Demokrasia ya Mbowe?Waache tu wataelewa ni kwa nini sisi tunapenda demokrasia
Demokrasia ya Mbowe??[emoji15]Waache tu wataelewa ni kwa nini sisi tunapenda demokrasia
Wafanyakazi vanavyokatwa PAYE kwenye mishahara awaumii,kwanza zile pesa walizopewa kwenye kampeni walilipa Kodi na walizitumiaje?.TOT awajajuta tu?.Natamani na wao wajute huku wakilipa kodi kwa kila show.Hapa kazi tu,natulipe kodi na naona TRA hii kodi awaikusanyi vizuri natamani wakakague mahesabu upya ya radio Uhuru na gazeti lake ya miaka 5 iliyopita kujiridisha kodi stahili iliyolipwa bila kisahau viwanja vya michezo na majengo .Ova.Tufanye kazi na kodi tulipe.Alijuta kabisa kwenye kipindi cha jahazi na Ndio alikua mkusanyaji mkubwa wa kura za ccm hili Ni gumu sana
Swissme is banned, aisee......kila mtanzania kachoka na huu uburuzwaji wa serikali ya CCM .
swissme