Mkuu umesoma uzi lakini??
Kasema serikali isiwalazimishe wahamie vyama vingine.. Hiyo kauli ina maana gani?? Kama huwa anaona sifa kutangaza kununua majumba basi aone sifa pia kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Ajue tu anafanya shughuli zake za mziki kila kona ya nchi kwa amani kwasababu vyombo vya serikali ndivyo vinasimamia hiyo amani. Na hao watu wanalipwa kwa kodi zetu..
Alipe kodi, aache kulia
Nirudie au wewe usome tena alichoandika mleta uzi?Sasa si ungerudia maneno aliyosema hataki kylipa kodi au kasema halipi kodi...!!!!!!!
Nirudie au wewe usome tena alichoandika mleta uzi?
Sasa huo uamuzi ni wako sio wangu tena.Uamuzi ni wako
Mie napita na sisomi....naona jina Diamond tu na vineno navyotaka kuvinoti.
CCM sio KICHAKA cha wakwepa kodi, kama vipi na asepe zake tu chama kingineWakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
Tumezoea vibaya sasa inapofika wakati mtu unaambiwa ulipe kodi unaanza kulia lia. Mbona wafanyakazi wanalipa kodi. Sasa kama mtu ana uwezo wa kutengeneza zaidi ya milioni mia kwanini asikadiriwe kodi?Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
Sio kila Mtanzania.kila mtanzania kachoka na huu uburuzwaji wa serikali ya CCM .
swissme
Binafsi nawatakia maisha mema huko walikoenda.Ninawafahamu wafanyabiashara wengi waliohamia Congo na Zambia na Uganda kisa kudorora kwa Biashara Tanzania
Na kweli aseeWacha aisome namba bana, yeye alidhani Namba itasomwa na wazambia au Warundi!? Namba inasomwa na woote tulio nje ya tabaka tawala.
Alipe tu. Hakuna namnaKodi kodi kodi kodi...