Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Mond kanyimwa shoo ya ikulu badala yake kapewa mzee wa masauti Christian Bella! Ndiyo anawatolea mapofu Serikali haha
 
Mkuu umesoma uzi lakini??

Kasema serikali isiwalazimishe wahamie vyama vingine.. Hiyo kauli ina maana gani?? Kama huwa anaona sifa kutangaza kununua majumba basi aone sifa pia kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Ajue tu anafanya shughuli zake za mziki kila kona ya nchi kwa amani kwasababu vyombo vya serikali ndivyo vinasimamia hiyo amani. Na hao watu wanalipwa kwa kodi zetu..

Alipe kodi, aache kulia

Sasa si ungerudia maneno aliyosema hataki kylipa kodi au kasema halipi kodi...!!!!!!!
 
Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
CCM sio KICHAKA cha wakwepa kodi, kama vipi na asepe zake tu chama kingine
 
Akaishi kwa kina Zari.

Wakati anatumika kueneza sumu ya propaganda ya Ukanda kwa wagombea wa upinzani alidhani ataishi nchi nyingine?!!! This is stupidity of its own kind.
 
Hii serikali ya ajabu kweli,nilishangaa pale nliposikia traffic police tanga wanakamata mpaka wenye Baiskel,lengo ni kupata kodi,kwani na jeuri zote haikujipanga kujua source zake za income?wananchi tutakoma.
 
Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
Tumezoea vibaya sasa inapofika wakati mtu unaambiwa ulipe kodi unaanza kulia lia. Mbona wafanyakazi wanalipa kodi. Sasa kama mtu ana uwezo wa kutengeneza zaidi ya milioni mia kwanini asikadiriwe kodi?
 
Wacha aisome namba bana, yeye alidhani Namba itasomwa na wazambia au Warundi!? Namba inasomwa na woote tulio nje ya tabaka tawala.
 
Ilimuuma Diamond sana hadi kufikia kusema serikali isiwafanye wakahamia vyama vingine
Diamond mnatumiwa tu na hawa watu kwenye kampeni
 
Asipende kufanya ligi na dola atapotea, mara ya pili hii naona anaiongelea serikali negatively
 
Tunadanganyika wote pamoja na Mbowe.. Anatuletea mgombea Bandia na kudai atatuvusha ni dhambi kubwa kwa wana mabadiliko
 
Ahame tuu CCM ni kama JINI nyonya nyonya Tutanyooka tuu
[emoji89] [emoji102]
 
Back
Top Bottom