Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
 
Na bado wakati anakata yale mauno kumnadi huyu naniii hakujua.. Ona aliye mwita mgonjwa akidunda vizuri na wengine walishajiandaa na hii hali.ALipe kodi kwa maendeleo ya taifa
Alijuta kabisa kwenye kipindi cha jahazi na Ndio alikua mkusanyaji mkubwa wa kura za ccm hili Ni gumu sana
 
Wahame tu,hao walikuwa hawalipi kodo mkuu kawa tyt wanajifanya kwenda nje waende tu hakuna namna
 
Utalalamika vipi na serikali wakati wewe mwenyewe ndo ulihusika na kujaza watu kwenye kampeni kuja kuona show yako ambayo ilishawishi na wengine kupiga kura.

Awamu hii ni bora ujikite na soko la nje la kimataifa lakini hili soko la ndani ni la kubana matumizi, wewe lipa kodi tu hakuna namna watu wote sasa hivi wanalipa kodi. Mambo ya kubebwa bebwa na serikali mara kuitwa ikulu kunywa juice mara lunch hakuna Hapa Kazi tu.

Washukuru Mungu wasanii wote waliolijua soko la nje awamu ya 4, lakini kutoboa ndani ya awamu hii uanze chipukizi mpk kimataifa kazi ipo kweli kweli.

Lipa kodi hakuna usupastaa ktk kuepuka kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom