Diamond kafa kaoza kwa Zuchu. Amwambia 'Sijawahi kupenda kama ninavyokupenda' kwenye ujumbe wa Valentine

Sawa ila historia itaandikwa tu siku 1 kuna kiumbe hai atalilia chooni 🤣
 
Wakuu,

Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.

Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao


View attachment 3236217
Sema hawa vimbaumbau wanajua sana mapenzi. Shida yao kubwa ni kuwa pilipili. Yaani ukimzingua tu, anatangaza kukupiga chini.
 
Diamond hata aandike nin sio wa kumuamini 😂😂😂
 
Zuchuuuuu......wa kizmkz ....Dimond chawa kizmkz....ndoa ya kulamishwaaaa mama kzmkz ....mengine story tuii
 
Ila ukikaangalia ka Zuhura nikama kako na Asali fulani hivi..
 
Huyu mwamba ni simba kiukweli.
Ma ex zake wote, wanaonekana ni mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…