Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula kivip sasa?Hadi wewe chakula?
Wala Mawazo Yako TuJambo jema zinaa ni uchafu
Sema hawa vimbaumbau wanajua sana mapenzi. Shida yao kubwa ni kuwa pilipili. Yaani ukimzingua tu, anatangaza kukupiga chini.Wakuu,
Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.
Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
View attachment 3236217
Sababu mapenzi wanaishia kuyaona kwenye series za kikorea, sasa maneno ya monde ni kama kutia chumvi kwenye kidonda 😢Kwa nini wanaoona wivu mtoto wa kike kupendwa na diamond ni wanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ila historia itaandikwa tu siku 1 kuna kiumbe hai atalilia chooni [emoji1787]
Inapendeza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond hata aandike nin sio wa kumuamini [emoji23][emoji23][emoji23]