Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

OK basi sawa
 
Umekua Chawa??? Sitaki kuamini lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjukuu naomba connection ya Irene tasavali[emoji3][emoji1545]
 
twende taratibu, ikiwa ukweli/uongo unaoujua unatokana na fikra zisizoonekana, ni wapi unapata nguvu ya kukanusha uwepo wa mungu kisa haonekani kwa macho ya mwili?

hoja yako ni ipi sasa, ikiwa unakiamini A kisichoonekana then unakikanusha B kisichoonekana?
 
Kainuliwa na Mungu yupi?
 
Kainuliwa na Mungu yupi?
Mungu muumba wa vyote, kwa ujumla Mungu ametubariki na kutuinua kwa madaraja tofauti tofauti bt njia ya kuzifikia baraka hizo ndo ipo ktk machaguo yetu, ukichagua njia mbaya ni for ur own risk bt hakuondoi uhalisia wa wewe kuinuliwa na Mungu.
 
Mungu muumba wa vyote, kwa ujumla Mungu ametubariki na kutuinua kwa madaraja tofauti tofauti bt njia ya kuzifikia baraka hizo ndo ipo ktk machaguo yetu, ukichagua njia mbaya ni for ur own risk bt hakuondoi uhalisia wa wewe kuinuliwa na Mungu.
[emoji1545][emoji817][emoji818]
 
Uyo sauli ulimuona au umesoma kwenye hadithi
 
Kwani wapi nimesema nakanusha uwepo wa Mungu kisa haonekani kwa macho ya mwili?

Unaweza kunionesha sehemu hiyo?

Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unaniwekea fikra zako tu, na kuzitaja kama mambo niliyoyasema mimi?

Halafu, unaelewa kwamba, ukweli kuwa naujua kutokana na fikra zisizoonekana kwa macho hakuthibitishi Mungu asiyeonekana kwa macho yupo?

Unaelewa kwamba, hoja yako kwamba kwa kuwa mawazo hayaonekani kwa macho ya mwili, basi Mungu asiyeonekana kwa macho hayo pia yupo inahalalisha kusema kwamba, kitu chochote kinachotajwa, ambacho hakionekani kwa macho kipo?

Wewe unakubali kwamba, chochote kitakachotajwa kuwa kipo, ukaambiwa kipo ila hakionekani kwa macho tu, kipo kweli?

Unajua hoja hii inamuwezesha mtu yeyote kusema kitu chochote, hata kile ambacho hakipo, kuwa kipo, ila hakionekani kwa macho tu?
 
uzi wa ma chawaaa na viroboboto wa domooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…