Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

Mwisho wainuliwa wengi huwa hawana maisha mengi.. Lakini kwa Mond tunaweza kumfanyia ibada mwenyezi Mungu amjaalie maisha mengi mengi
emoji1545.png
emoji818.png
Mkuu Mshana Jr sijajua unamzungumzia mungu gani aliyemuinua huyu msanii wa kidunia anayediriki mpaka kuvaa hereni na kikuku majukwaani lakini ni kweli baada ya Kanumba anafuata yeye

Nahisi ile nyota akiyokuwa akiitumia kanumba kapatiwa huyu mwamba

Niweke wazi namkubali sana Diamond kwa kupambana na kubaki kileleni miaka yote

Walikuwepo wasanii wengi tu akina Banana zoro lakini wameishia kudanga danga na kula miunga kama sio kuvuta mibangi
 
Nahisi ile nyota akiyikuwa akiutumia kanumba kapatiwa huyu mwamba

Niweke wazi namjubali sana Diamond kwa kuoambana na kubaki kileleni miaka yote
KISIWAGA miungu hutambulishwa kwa matumizi ya M na m
 
Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu..

Mungu huwainua wachache kati ya kwa kila taifa, ukoo hata familia.. Huwainua kwa vipawa na vipaji mbalimbali... Na wengine baada ya kujitenga na dunia hutunukiwa karama mbalimbali za kiroho

Diamond Mungu kamtunuku kipaji cha uimbaji wa nyimbo za kidunia na kipawa cha kuweza kufanya mambo makubwa ambayo kuna mamilioni ya wasomi wameshindwa kufanya

Usimwangalie Diamond wa sasa bali mwangalie pale alipoanza kuonekana kwenye mwanzo wa msingi wa mafanikio kupitia wimbo wake wa Mbagala..Na baada ya hapo kuzindua brand yake ya WASAFI iliyoanza kama utani

Mtoto wa fukara aliyelelewa na mzazi mmoja, aliyeshindwa kusoma shule bora na pengine kushindwa kumaliza masomo yake kutokana na changamoto za karo sare nk... Mungu hujidhihiri kupitia watu kama hawa
Kumbuka ni mzazi gani ambaye hapendi mwanawe awe kama Diamond? Na ndio maana kila mzazi mwenye uwezo anajitahidi kumpatia mwanawe elimu bora ili aje kuwa fulani katika maisha...

Njia aliyopita Diamond ni ngumu, nyembamba na iliyojaa taabu na misukosuko mingi, lakini kuna sauti na nguvu ya kiroho iliyokuwa inampa hamasa kwa kila hatua aliyopitia.. Ni wengi wamepita na wanapita aliyoptia Diamond.. Wanapambana kufa na kupona, lakini kwa Mungu kila mmoja ana kipimo chake

Diamond sio wa level ya wasanii wengi kwa sasa kitaifa kikanda na hata kidunia.. Usiangalie followers wake tuu mitandaoni, na mali anazomiliki. Bali mwangalie jinsi alivyoweza kutengeneza legacy yake kwa kuwatengeneza wasanii wengine kupitia yeye mpaka wakajulikana mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.. Ana hiki kipawa cha kumbrand mtu.

Tuna wasanii wengi na wazuri sana lakini bado hakuna mpaka sasa aliyeweza kufanya aliyofanya Mond..hata kama baadhi wameweza kujisimamia lakini kusimamia wengine wakawa kama wao wameshindwa kabisa.. Kwasasa WASAFI ni BRAND tishio kwenye hilo...!

Nitarejea[emoji1541]
[emoji1541]
Naendelea
Dunia ina wasanii wakubwa wengi, maarufu na matajiri sana waliofikia mafanikio yao kwa njia mbalimbali haramu na halali lakini Mungu akamuinua mmoja tu kati yao naye si mwingine bali ni mfalme wa pop duniani Mwendazake Michael Jackson mwafrika kwa jina la mmarekani mweusi... Ukimwengu utapita vizazi vingi kabla ya kumpata MJ mwingine

Diamond is almost there.. Japo hajafika lakini aliyoyafanya mpaka sasa anastahili kupewa heshima yake kitaifa.. Huyu ni mmojawapo ya tunu za taifa kupitia sanaa ya mziki wa kisasa.. Ni mbunifu, ni mtunzi ni muibua vipaji na mwendeleza vipaji, ni mjasiriamali na yuko very smart kwenye kazi zake..!

Action speak louder than words.. Si muongeaji sana lakini matokeo ya kazi zake yanaonekana.. Ufahari wa kununua vitu vya gharama kubwa ni kiu ya binadamu yoyote yule, lakini vilevile ni kuudhihirishia umma kwamba yeye ni above next level ...!

Ndege yake inakuja iko njiani.. Gharama za kumiliki hiki chombo si mchezo hata kama hataitumia sana Lakini tayari ameshatengeneza historia nyingine ya msanii wa kwanza Tanzania na wachache ulimwenguni kumiliki chombo Kama hicho..

Waswaheli wanasema usimwingilie aliyepewa kapewa! Mond kapewa kama wewe hujapewa mwombe sana Mungu katika ukoo wenu kama si familia basi amuinue mmoja kati yenu atengeneze legacy ya familia na ukoo... ! Chuki dhidi yake ni roho ya washindwa na kijicho..

LA Mwisho wainuliwa wengi huwa hawana maisha mengi.. Lakini kwa Mond tunaweza kumfanyia ibada mwenyezi Mungu amjaalie maisha mengi mengi[emoji1545][emoji818]
Nami nilikuwa nasoma kwa udhaifu wa kiroho nijue mwishoni utazungumza Nini,,,, nikaona umesema tumfanyie ibada!!! Toba??

Kwenye kumuombea hapo mim hataaaaa maana anayofanya nyuma ya muziki wake siyajui,,, tugawane madhara tu kwa ufanyaji wa mwingine hilo hapana
 
Jina la Diamond limemsibu kawa diamond kweli kweli.
 
Kwani wapi nimesema nakanusha uwepo wa Mungu kisa haonekani kwa macho ya mwili?

Halafu, unaelewa kwamba, ukweli kuwa naujua kutokana na fikra zisizoonekana kwa macho hakuthibitishi Mungu asiyeonekana kwa macho yupo?

Unaelewa kwamba, hoja yako kwamba kwa kuwa mawazo hayaonekani kwa macho ya mwili, basi Mungu asiyeonekana kwa macho hayo pia yupo inahalalisha kusema kwamba, kitu chochote kinachotajwa, ambacho hakionekani kwa macho kipo?

Wewe unakubali kwamba, chochote kitakachotajwa kuwa kipo, ukaambiwa kipo ila hakionekani kwa macho tu, kipo kweli?
-comment yako no 117 umesema utajuaje mungu yupo akati haonekani?

-fikra nimeitumia kama mfano wa uwepo wa mungu na wala sikuhalalalisha kila kisichoonekana kuwa kipo.

-kwa msaada wa akili tunaweza kuviona baadhi ya visivyooneka/kuvipima.

-uwepo wa Mungu unathibitika kwa kutumia kanuni zake(maandiko), hata nawe ukiwa tayari kuzifuata kanuni za Mungu utathibitisha uwepo wake.
 
Habari za kuonekana umezileta wewe, mimi nilikuwa nakujibu tu.

Ushuzi ujambe wewe, halafu lawama unipe mimi? Kwa nini?

Kuonekana au kutoonekana kwa kitu si hoja, kwa sababu hakutuambii lolote kuhusu kuwapo kwa kitu hicho.

1. Kitu kinaweza kuonekana kwa macho kipo, halafu kikawa hakipo - e.g mirage jangwani zinaonesha chemchemi za maji ambazo hazipo.
2. Kitu kinaweza kutoonekana kwa macho kipo, wakati kipo - eg bacteria
3. Kitu kinaweza kuonekana kwa macho kipo, halafu kikawa kipo
4. Kitu kinaweza kutoonekana kwa macho, kwa sababu hakipo

Sasa, hoja ya kuonekana au kutoonekana haituelezi lolote kuhusu kitu kuwapo au kutokuwapo, tuiondoe katika mjadala. Tujikite kwenye hoja za msingi zaidi.

Comment ya post 117 hii hapa chini, hakuna niliposema nakanusha uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.

Kifupi, sababu zangu za kubishia uwepo wa Mungu ni za kimantiki zaidi. Classical arguments kama "the problem of evil". Mambo ambayo ni ya kimantiki zaidi na hayahusiani na Mungu kuonekana.

Na mtu anaweza kuhoji unajuaje Mungu yupo wakati haonekani, lakini hiyo isiwe sababu yake ya msingi ya kutokubali uwepo wa Mungu.

Mungu wenu, mjuzi wa yte, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya, hayupo, ushahidi kuwa hayupo ni internal contradictions katika hoja za kuwepo Mungu huyo.

This has nothing to do with kuonekana kwake.

Inawezekana nimeadika kidhahania zaidi na kusoma inakuwa tatizo.

Nimeuliza swali, kwamba, nikikwambia kitu kipo, ila hakionekani tu, je, hilo linamaanisha kitu hicho kipo kweli?

Wapi hapo nimesema kitu kuwepo ni lazima kionekane?

Mbona wewe sikuoni na sina tatizo kujibizana nawe hapa?

Niliandika:-

"Kwa hivyo nikifikiria kuwa pembetatu duara ipo, hilo linamaanisha pembetatu duara ipo?

Nikikwambia uongo wowote, kwa mfano, wewe ni shetani, ukabisha, nikakwambia hilo jambo ni mfano wa fikra, halionekani, utakubali kwamba wewe ni shetani?

Unajuaje Mungu yupo na haonekani? Unajuaje hii si hadithi iliyotungwa na watu tu na Mungu kiukweli kabisa hayupo?"
 
-comment yako no 117 umesema utajuaje mungu yupo akati haonekani?

-fikra nimeitumia kama mfano wa uwepo wa mungu na wala sikuhalalalisha kila kisichoonekana kuwa kipo.

-kwa msaada wa akili tunaweza kuviona baadhi ya visivyooneka/kuvipima.

-uwepo wa Mungu unathibitika kwa kutumia kanuni zake(maandiko), hata nawe ukiwa tayari kuzifuata kanuni za Mungu utathibitisha uwepo wake.
Unajuaje kwamba Mungu yupo kweli, na habari za kuwa[po kwake si hadithi za watu tu?
 
Uzuri tunajua upo upande gani...
 
Unajuaje kwamba Mungu yupo kweli, na habari za kuwa[po kwake si hadithi za watu tu?
post yako ya juu, umeeleza mambo mengi yanayo make sense kulingana na daraja lako la ufaham bt kabla hatujaendelea, napenda kujua kama ushawahi kuyafuata maelekezo yanayoelezea uwepo wa mungu(maandiko) yakashindwa kukuthibitishia uwepo wa mungu?
 
Back
Top Bottom