Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

post yako ya juu, umeeleza mambo mengi yanayo make sense kulingana na daraja lako la ufaham bt kabla hatujaendelea, napenda kujua kama ushawahi kuyafuata maelekezo yanayoelezea uwepo wa mungu(maandiko) yakashindwa kukuthibitishia uwepo wa mungu?
Maandiko gani?

Ukisoma Biblia na Quran kwa mfano, kwa makini, kwa mantiki, utagundua huwezi kufuatilia vitabu hivi, kwa sababu kila kimoja kinajipinga chenyewe.

Hiyo dhana tu ya kuwepo Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, kimantiki, inajipinga yenyewe na kufanya uwepo wa huyo Mungu kuwa kitu ambacho hakiwezekani.

Ni kama vile nikwambie katika Euclidian planes kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Wakati pembetatu ina nyuzi 180 na duara ina nyuzi 360, na pembetatu haiwezi kuwa duara hapohapo.

Biblia imejaa internal contradiction. Quran imejaa internal contradiction.

Hayo maandiko unayosema ni yapi?
 
maandiko wala hayapingani bali kinachopingana ni mawazo yako yaliyoathiriwa na nadharia unayoifuata, kuamini nadharia fulani si makosa bt kuifanya mipaka ya ufaham wako nadharia hiyo ndio makosa.

contradiction unaziona ktk maandiko coz ndo lengo lako uyasomapo bt pindi utakapoyasoma kwa lengo la kutafuta uhalisia wa uwepo wa mungu pia utapata majibu kulingana na lengo la usomaji wako.
 
Dogo sasa ndege yake ishafikaaa
 
Kainuliwa na mungu wa dunia hii, kwa maana humwinua na kumfanikisha kila amtakaye ila sharti UPOMOKE NA KUMWABUDU.
 
Mungu yupi? Wa kishetani au?
 
Mungu kamtunuku kufanya kwa ufanisi mambo ya kidunia yasiyoendana na Mungu mwenyewe.....
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…