elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
basi sawa; wanafuata msemo wa hii si sabuni haikwishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwandishi wa risasi anaandika kama KE lakini ana mind ya ME napenda kumfahamu jaman maana uandishi huo ni adimu sana
Kuna wimbo unakaribia kutoka mwishoni mwa mwaka.
Bas diamond anapenda watu wazma
Hahaaa umempa za uso!!!Nani duniani anapenda watu wabovu?
Hii habari ni kweli asilimia 100 na long time wanachapana. .quick rocka kaamua tu kujinasisha ila kajala mtelezo tu kwa wakali wa townHuu udaku chanzo chake sio cha kuaminika