Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Sifikiri kama Hamisa Mobeto anaweza kumuongoza Diamond kama mume kwake, simdharau ila sifikiri kama Hamisa anaweza kumshauri au kumfanya Diamond akaendelea kuwa juu! Wanawake wa calibre ya ZARI THE BOSS LADY ni wachache sana.... Hamisa uswahili mwingi!!!!
 
Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizon
 
Mwachieni azipige kwanza hadi hadi mkizichovya vidole awe anawaambieni wenye nazo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hapo kwenye #2, we ndo Hamisa au?
Afu na kale ka kesi ka kudaiana pesa sijui kamekaaje kale
 
Ahhhhh hapana akili za kuambiwa changanya na zako kwnn akaoe instagram aisee mwanamke anawaza party tu badala ya kupigana na maisha anapigana kumfanyia MTT sherehe kila siku she is not wife material,hafai kwa uzuri ni mzur kwl kwan unafikir kwnn wanamkataa wakishazaa kina majizo?

Huyo zari munamuita bb umeona ivan alivyokuwa akililia warudiane? Chibu mwenyew akasema atakwenda south kwa goti....unadhani wanapenda k hapo? Hapo ni akili ndio zimewavutia!

Zar anajielewa anajua shida ni nini na anajua kuhaso kutafuta pia anawashauri wanaume wake mambo ya maendeleo!.. Zari aliwah kukataa birthday ya tiffa ya milions of money afu akamwambia chibu pesa aongezee kwenye nyumba chibu akaongezea pesa akanunua nyumba south!...Hamisa angeweza hiyo?
 

Muoe wewe kwakuwa nimzuri sana. Kama wewe ni ke, mtafutie ndugy yako kutoka kijijini kwenu amwoe!.
 
L
pambana na hali yako
Nani alie toa mimba ya Diamond
 
Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizon
Well said dada [HASHTAG]#jackline1[/HASHTAG]
Zari ni mtu sahihi sana kwa Diamond even him he real appreciate her!
 
Tatizo la elimu ni kubwa kuliko tunavyodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…