sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Esma kaziniAiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Esma kaziniAiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizonSifikiri kama Hamisa Mobeto anaweza kumuongoza Diamond kama mume kwake, simdharau ila sifikiri kama Hamisa anaweza kumshauri au kumfanya Diamond akaendelea kuwa juu! Wanawake wa calibre ya ZARI THE BOSS LADY ni wachache sana.... Hamisa uswahili mwingi!!!!
Hapo kwenye #2, we ndo Hamisa au?Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
kwani mwanaume kukuacha hadi uwe hujatulia?Aiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
hana helaHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
acha utani mkuuhana hela
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Mwanaume kuoa akiwa na 28 ni kujinyima haki na kujipunguzia umri wa kuishi..binafsi namshauri asioe kwanzaHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
pambana na hali yakoVigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Well said dada [HASHTAG]#jackline1[/HASHTAG]Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizon
Hahaha hili ni swali gumu akifanikiwa kujibu labda abadili gear angani na kuleta topic nyingineMkuu wewe umeoa? Kama bado umepewa shart na nani? Nini kinakuzuia kuoa?