Tena Majizo anaonekana ame-settle zaidi compared to Diamond but still akaona kwa Hamisa sio!!Mkuu wewe umeoa? Kama bado umepewa shart na nani? Nini kinakuzuia kuoa?
Poapoa mkuu tusubiriKama ndivyo basi hayo masharti watakuwa wamepewa wengi manake hata Legendary Joseph Haule wa mid 1970's kaoa juzi tu hapa seuze Chibu wa late 1980' s!!!
Anhaa sawaHajafika ata miaka 30 hana haraka kuoa si mchezo
Sawa TusubiriHata yeye muda bado
Tena Majizo anaonekana ame-settle zaidi compared to Diamond but still akaona kwa Hamisa sio!!
Hahaha kwa hiyo aendelee kula bata.. Well in goodMwanaume kuoa akiwa na 28 ni kujinyima haki na kujipunguzia umri wa kuishi..binafsi namshauri asioe kwanza
Tena Majizo anaonekana ame-settle zaidi compared to Diamond but still akaona kwa Hamisa sio!!
Hee! Hivi kumbe ni used?
Naunga mkono hiliSifikiri kama Hamisa Mobeto anaweza kumuongoza Diamond kama mume kwake, simdharau ila sifikiri kama Hamisa anaweza kumshauri au kumfanya Diamond akaendelea kuwa juu! Wanawake wa calibre ya ZARI THE BOSS LADY ni wachache sana.... Hamisa uswahili mwingi!!!!
Yah!! Tena Hamisa alikuwa kwa Majizo wakati Majizo akiwa hayupo committed kwingine kama ilivyokuwa kwa Diamond ambae alishakuwa committed kwingine!Kweli na majizo alimchukulia hamisa kama wife material ila kabinti kakachezea nafasi wacha lulu ajipatie bwana kirahisi
Wadogo gani?! Hawa hawa ambao usichana hawajamaliza?! Au umesahau alivyokuwa anaitwa mgumba kumbe hao unaoita wasichana walikuwa wanafanya kazi ya abortion!!! Na huyo Penny sio ndo yule alisema asingeweza kuzaa na Diamond manake angemwaribia mtoto kwa midomo yake!!! Unless kama walimsingizia lakini sikuwahi kusikia akikanusha!!Ila pia kuishi na mwanamke mwenye watoto wote wale nao ni moyo, pia kumuoa demu ambae mabwana zake wa nyuma unawajua na niwashikaji wako ,hii nayo ngumu kweli.
Ushauri😀iamond atafute mwanamke mwingine mdogo na asiyejulikana na asiwe kuwa na wingi wa scandals ,ikiwezekana amrudie DJ Penny
Mwanamke akiwa na hasira anaweza kukutusi lolote, ndo maana huwa wanapigwaWadogo gani?! Hawa hawa ambao usichana hawajamaliza?! Au umesahau alivyokuwa anaitwa mgumba kumbe hao unaoita wasichana walikuwa wanafanya kazi ya abortion!!! Na huyo Penny sio ndo yule alisema asingeweza kuzaa na Diamond manake angemwaribia mtoto kwa midomo yake!!! Unless kama walimsingizia lakini sikuwahi kusikia akikanusha!!
Huuuu ni uongoooo!! Hamisa alimuiba Majizo kwa rafik yake, hy mdada akiwa na mimba hamisa akaaanza kutoka na shemeji yake(Majizo) so ni kajizi ka wanaume za watu mjini, na Lulu alichomfanyia ni marudio ya aliyoyafanya yy. Ni kawaida yake kukwapua wanaume wanaotengenezwa na wanawake wanaojielewa.Yah!! Tena Hamisa alikuwa kwa Majizo wakati Majizo akiwa hayupo committed kwingine kama ilivyokuwa kwa Diamond ambae alishakuwa committed kwingine!
[emoji2] unamjua majizo wewee?!!silent killer watoto wa3 mama tofauti...muulize zuhura(km sikosei) atakwambia ni Malaya mbwaaa!Tena Majizo anaonekana ame-settle zaidi compared to Diamond but still akaona kwa Hamisa sio!!
Na ndo maana nimesema "compared to.....!" Relative term[emoji2] unamjua majizo wewee?!!silent killer watoto wa3 mama tofauti...muulize zuhura(km sikosei) atakwambia ni Malaya mbwaaa!
Huyo lulu bila ndumba ashasepa mudaa tu!tena kanafukuzwaga kabisa!
Silent killer yule ndugu yangu hv mwanaume anaporwaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] watoto watatu hajaona mke sahihi kwake!Na ndo maana nimesema "compared to.....!" Relative term
Zuhura alikuwa nae kabla Hamisa na Hamisa alimpora Majizo kwa Zuhura