Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Maisha yamebadilika jamani.. Ndoa nyingi zinavunjika. vijana ambao wako kwenye umri wa kuoa/ kuolewa hawafanyi hivyo sasa.. wapo wapo tu.. taasisi ya ndoa imekumbwa na mkata kamba.. zile shamrashamra za kila kumbi kila weekend siku hizi pia ziimepungua mno mno
 
Ila pia kuishi na mwanamke mwenye watoto wote wale nao ni moyo, pia kumuoa demu ambae mabwana zake wa nyuma unawajua na niwashikaji wako ,hii nayo ngumu kweli.
Ushauri😀iamond atafute mwanamke mwingine mdogo na asiyejulikana na asiwe kuwa na wingi wa scandals ,ikiwezekana amrudie DJ Penny
 
Wadogo gani?! Hawa hawa ambao usichana hawajamaliza?! Au umesahau alivyokuwa anaitwa mgumba kumbe hao unaoita wasichana walikuwa wanafanya kazi ya abortion!!! Na huyo Penny sio ndo yule alisema asingeweza kuzaa na Diamond manake angemwaribia mtoto kwa midomo yake!!! Unless kama walimsingizia lakini sikuwahi kusikia akikanusha!!
 
Mwanamke akiwa na hasira anaweza kukutusi lolote, ndo maana huwa wanapigwa
 
Yah!! Tena Hamisa alikuwa kwa Majizo wakati Majizo akiwa hayupo committed kwingine kama ilivyokuwa kwa Diamond ambae alishakuwa committed kwingine!
Huuuu ni uongoooo!! Hamisa alimuiba Majizo kwa rafik yake, hy mdada akiwa na mimba hamisa akaaanza kutoka na shemeji yake(Majizo) so ni kajizi ka wanaume za watu mjini, na Lulu alichomfanyia ni marudio ya aliyoyafanya yy. Ni kawaida yake kukwapua wanaume wanaotengenezwa na wanawake wanaojielewa.
 
Tena Majizo anaonekana ame-settle zaidi compared to Diamond but still akaona kwa Hamisa sio!!
[emoji2] unamjua majizo wewee?!!silent killer watoto wa3 mama tofauti...muulize zuhura(km sikosei) atakwambia ni Malaya mbwaaa!
Huyo lulu bila ndumba ashasepa mudaa tu!tena kanafukuzwaga kabisa!
 
Na ndo maana nimesema "compared to.....!" Relative term

Zuhura alikuwa nae kabla Hamisa na Hamisa alimpora Majizo kwa Zuhura
 
Silent killer yule ndugu yangu hv mwanaume anaporwaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] watoto watatu hajaona mke sahihi kwake!
 
Back
Top Bottom