Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Bashite yawezekana ana kitu juu ya Domo kama alivyowakamata GSM
 
Reactions: ydn
Diamond kimbelembele chake kitamponza tuyajue tusiyoyajua yanayomuhusu, don't mess with Gwajima/Mange. Tukutane kesho kanisani ufufuo na uzima
Ngoja tuone kitakachojir
 
Reactions: ydn
Jamani aombaye msamaha husamehewa angekaa kimya mngesema anakiburi, Bishop plz toa msamaha maana hayo maji si yakikombe wala ndoo ni tsunami Dia kashastukia. Tumeona bashite alivyogeuka unga we sio waspotspot.
 
Askofu anaushahid wa namna ambavyo dai na utawala wake wanashirikiana na bashite esp ktk hii ishu ya roma mpka minute za kile kikao chao walichokaa kabla ya roma kupotea askofu atakua nazo hvyo dai lazma aogope maana anaenda kianikwa inside out a inaweza kupelekea dai kutengwa na maadui wa bashite kama alivyotengwa bashite kwa maana rafik wa adui yako ni adui yako by default
 
Reactions: ydn
Diamond anajua aisee bonge moja la nyimbo.Gwajima naye mikwara tu,anatafuta attention muda mwingine.sasa kama kuna alilotaka kulisema si angetujuza tu,kuliko kumpa mtu nafasi ya kupumua na kuomba msamaha tena wa kukejeli.
 
Kelele humu humu alafu cha maana alichomchokoza Bishop sikioni ni kipi?
 
Diamond ninakusifu cana umekuwa mtu waainayake kijana mdogo kama ww kwauchumi unaomiliki kwasasa naulivyoamua kujishusha kiukweli hekhima yako inazidi kuonekana najua watakaokuzalau niwengi lkn mwisho wasiku lazima mkubwa amueshimu mdog.. Kweli umelewa kwamalezi mazuli
 
Sisi wapenda ubuyu bila kwadithiwa tunawahi viti vya mbele. Hatutaki mambo ya YouTube. Tunataka kitu live. Hatutaki kuyasikia kwakina Mange cjui Lepumbuzi
Wajinga ndo waliwao, ukija shtuka ushachelewa!
 
Kama katumwa awali kolomije a mwombee msamaha tu
 
Hawezi mfanya lolote wala chochote, Dai kamchezea tu sharubu.
 
Gwajima hana lolote,ni wajinga na wale misukule wake kule kanisani ndiyo wanaomshadadia.
Hata sisi tunajua hana lolote we hujiulizi kwa nini hadi mkuu wako nchi anamtafuta amuharibie jina usimuone mtu ukamchukulia poa yule sio mtu wa mchezomchezo.
 
Mmmh!! Labda kuna ukweli. Kwasababu kama unapata riziki yako kihalali pasipo kutumia njia haramu huwezi kuwa na wasiwasi au kumuogopa mtu yeyote yule. Lakin kama unaogopa? Mmmh hapa ndio siwezi kukubishia Mkuu. Kuna kitu tu
 
Huyo mchungaji nae anayo matatizo mengi tu, lakini jamii yetu inamrusha sana hewani.

Maisha ya dunia ya tatu yamejaa wachungaji wasanii, ambao wanatumia fursa ya umasikini wa watu kujipatia utajiri mkubwa.

Wakishapata waumini elfu mbili au elfu tatu wanaanza kuwatukana kina Malasusa na Pengo watu ambao wamekuwepo kwenye maisha ya kidini kabla ya wao hawajajua nini kinaendelea duniani.

Halafu huyo pastor na ajiangalie sana, yule wa zamani alikuwa mcheshi na mkarimu anayependa kuchanganyika na kila mtu.

Huyu wa sasa analo cheko fulani la kulazimisha, mara moja hugeuka na kuwa sura ya ukauzu. Ajiangalie sana huyo pastor.
 
Nawashanga wa tz kumita mtu chizi tena anaetwa chizi anongoza watu zaidi 50 elfu nawakati wanaomuita chizi hata familia zao zimewashinda nawengine wamezitelekeza
 
Mwakyembe alipokuwa waziri wa uchukuzi aliwahi kuomba dola imchunguze Diamond .
Mimi naamini Modi anapata riziki yake kwa jasho lake. Ila naanza kupata wasiwasi! Huwezi muogopa Gwajima kama unakula kwa jasho lako! Kuna kitu tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…