Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Nshapiga nguo pasi na moka iko swafi na gari mafuta yako ya kunifikisha kwa askofu,asubuhi na mapema nawahi siti nikamskilize mzee ana siri gani ya Dangote
 
Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Na kuzizoea hakumaanishi zikome, ila ziendelee asanteee. Big Gwajima...hii nchi imejaa vilaza...haina dira....tufunue wengi tuelewe hii Civics....
 
Mkuu huyo askofu anaringia watu , lakini mkuu kabisa ndiye mwenye nchi.

Ni vituko vya mwaka kuamini kwamba Gwajima anao uwezo wa kujibizana na mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Mkuu hii ni afrika sio Marekani wala dunia nyingine ya kwanza, viongozi wa nchi hizi wanazo powers kubwa sana kushinda huo umaarufu wa wachungaji.
Trust me baraza la maaskofu wa makanisa yote wapo macho na wanaona kinachoendelea...
Ameingilia uhuru wa habar wanamuangalia tu...
Ameingilia uhuru wa kujieleza wanamwangalia tu...
Vurugu zote anafanya wantizama tu...
Akijichanganya kuingilia uhuru wa kuabudu hapo hatovumiliwa..


......Never underestimate the power of the church......
 
IMG-20170408-WA0017.jpg
 
Mtu anaeweza kumuogopa Gwajima hajielewi tu..
Mkuu unavyoongea sijui kama unaelewa Kuhushu brand. Hivi kama umejenga nyumba halafu mtu mbaye huwezi kumzuia abomoe kuanzia bati na hata aishie kwenye lenta tu hutsogopa? Kulichafua jina la diamond alilolijenga kwa jasho unadhani ni masihara? Haina tofauti na mtu kukubomolea nyumba.

Umeichukulia kirahisi sababu huna umaarufu wowote na hata kama unao hauhusiki na mapato yako kabisa. Fikiri vizuri.
 
Trust me baraza la maaskofu wa makanisa yote wapo macho na wanaona kinachoendelea...
Ameingilia uhuru wa habar wanamuangalia tu...
Ameingilia uhuru wa kujieleza wanamwangalia tu...
Vurugu zote anafanya wantizama tu...
Akijichanganya kuingilia uhuru wa kuabudu hapo hatovumiliwa..


......Never underestimate the power of the church......
Tatizo unaandika mambo ambayo huyajui. Ungekuwa unayajui usingejisumbua kuandika ulichoandika.

Una ufahamu vyema ukaribu wa askofu Pengo na JPM?. Unaufahamu ushawishi wa askofu huyo kwa hilo baraza la maaskofu ulilolitaja. Unajua ni kwanini JK aliposikia askofu Pengo katukanwa na Gwajima akaanza kumshughulikia?.

Ungeujua ukaribu wa kanisa katoliki na mamlaka kuu za nchi, ungetambua ni kwa kiasi gani huyo askofu anaweza kufanyiwa lolote lile na mamlaka pasipo maaskofu kupoteza hata dakika moja katika kufuatilia kitakachokuwa kinaendelea.
 
Kila kitu kwa kiasi. Anafanya ansyoyaweza. Kama utafanya usiloliweza utakuwa mpuuzi. Heko Gwajima.

Anaonea vidagaa tu huyu askofu uchwara. Kwa nini hakuinanga serikali pale ilipomfukuza Tanganyika Packers alipotoa vyombo vyake kupeleka kwenye mkutano wa Chadema kipindi cha uchaguzi?
Ishu hapa sio uchaguzi tena NI kilichopo mezani.


Nataka nishuhudie kesho mtu akigeuzwa maji,muvi ipo pt 2 sio ya kukosa.

Mondi kakosea sana ila namuombea msamaa
 
Yaani kwa hizi series zinazoendelea nchini mwaka unazidi kupungua 2020 ile paleeee
 
Huyo mchungaji nae anayo matatizo mengi tu, lakini jamii yetu inamrusha sana hewani.

Maisha ya dunia ya tatu yamejaa wachungaji wasanii, ambao wanatumia fursa ya umasikini wa watu kujipatia utajiri mkubwa.

Wakishapata waumini elfu mbili au elfu tatu wanaanza kuwatukana kina Malasusa na Pengo watu ambao wamekuwepo kwenye maisha ya kidini kabla ya wao hawajajua nini kinaendelea duniani.

Halafu huyo pastor na ajiangalie sana, yule wa zamani alikuwa mcheshi na mkarimu anayependa kuchanganyika na kila mtu.

Huyu wa sasa analo cheko fulani la kulazimisha, mara moja hugeuka na kuwa sura ya ukauzu. Ajiangalie sana huyo pastor.
pastor yupi huyoo??
 
Inchi ikiongozwa na........ndo madhara yake haya
 
One mistake one goal.....Alikiba kama nakuona vile, mwenzako Dai kazama totally kwenye siasa sijui anataka 2020 agombee ubunge wa Tandale
 
Naomba mnisaidie hicho kiingereza lakini na bango lake , muoneeni uruma kaka wawatu kashanza kubaaa

c020b51aac631030b101b5f4ba733af8.jpg
 
wacha akukomesha maana ulikuwa unawashwa ww, unaacha kufanya muziki unajiingiza kwenye mambo ya kishamba, umetuchefua sana fans zako kwa kuwa umeamua kujiingiza kwenye maisha ya kutumika sasa na si muziki tena
 
Back
Top Bottom