rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Diamond ametumika kuimba fitina ambayo matokeo yake amejipatupa kwenye dimbwi la kinyesi kujaribu kumuokoa Bashite alafu wamezama wote.![]()
NI VYEMA KESHO NA YEYE AKIBATIZWA KWA MOTO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond ametumika kuimba fitina ambayo matokeo yake amejipatupa kwenye dimbwi la kinyesi kujaribu kumuokoa Bashite alafu wamezama wote.![]()
Jina la huo wimbo please!
Kwahiyo kidomodomo cha kanisa wakati wa JK kilitokana na dini yake? Huyu tunayesali naye parokia moja ndio tunajifanya hatuoni?Trust me baraza la maaskofu wa makanisa yote wapo macho na wanaona kinachoendelea...
Ameingilia uhuru wa habar wanamuangalia tu...
Ameingilia uhuru wa kujieleza wanamwangalia tu...
Vurugu zote anafanya wantizama tu...
Akijichanganya kuingilia uhuru wa kuabudu hapo hatovumiliwa..
......Never underestimate the power of the church......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hakika usha mjua vizuri bishop,dr slaaa hana hamu na hiyo kitu inayoitwa gwajimaHuyu alikuwa anajaribu kumkumbatia nyuki. Na uzuri au ubaya wa askofu Gwajima kabla hajakuzungumzia anaanza kutoa historia yako fupi kwanza. Ili kusudi mumuelewe mtu vizuri. Sio mbaki na sintofahamu. Hapa angeanza kuongelea ukoo wake kwanzaa alafu ndo amshushe yeye kama yeye
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kumbe tuko wengii aiseeBaba askofu tafadhali tafadhali baada ya post yako nilijiunga na bundle la week nikuone live Ukiyeyusha diamond...
Dah nshaingia hasara
No kabla ya jpil atakua ashapatikanaNa wakati huo huo Bashite alishasema j2 Roma atapatikana! ??????????????????????
Acha ushilawaduNasikia kesho Watoto watajulikana kama ni wake au wa Ivan
MAJI TU.Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
Lakini wanamchokoza wao hata lusekero alisema hatamnyamazia anayemchokoza ikiwezekana atamuombea afee Kabisa iwaje ww leo aje mtu kazini kwako anakupondea ufukuzwe kazi utamwachia mungu angali familia inakutegemeaNa huyo Gwajima kwanini ajipatie umaarufu kwa kuongea maisha ya watu. Alimkejeli askofu Pengo na JK akampelekesha puta. Matokeo yake kaona anayo haki ya kuwa hakimu wa maisha ya watu.
Inaboa sana kuona kiongozi wa kiroho anaamua kuiishi fitina ambayo ni mlango mkubwa wa shetani. Haya mambo ya wachungaji kuingia kwenye vita za maneno na raia wasio na platform au wasiopenda majibizano, sio ustaarabu wala utamaduni wa kitanzania.
Busara hana ndiyomaana karekodi fitina badala ya mziki.Hongera Chibu,Muungwana ni vitendo.Kwa mara ya kwanza Tz tumempata msanii mwenye kipaji na busara.
Huyo Domo amelitibua dude sasa anahaha kulituliza.Vijana wanachokonoa mambo kumbe waoga. Kama alitumwa aimbe watu aiache kabisa hako katabia, kanaweza kummaliza kisanii.
Safi sana halafu watu hawajui kuwa gwajima anapenda hizi bifu ziendelee ili watu waende kwake apige sadaka ya maanaKanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Ukiishi kwa kutegemea akili za wanafiki ujue utaumbuka. Jamaa anakosa uhuru wa kufikiri hata kwa yaliyodhahiri analeta dhihaka. Ngoja ayakoge, ameyaronda mwenyewe!Huyo Domo amelitibua dude sasa anahaha kulituliza.