Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Ni bora umtukane rais wa nchi maana kaajiriwa na wananchi kuliko kumtukana mtumishi wa Mungu aliyeajiriwa na Mungu, yaani mtumishi wa Mungu unamwita mbwa kichaa?
Omba toba haraka Sana Kwa Mungu, or else Nakuhakikishia huu mwaka huumalizi salama, ghadhabu ya Mungu lazima ikuchape, mimi sikujui, ila wanaokujua wanukuu maneno yangu ili yaje kutumika Kama ushahidi endapo utakaidi kufanya toba.
 
Usimbebeshe zigo Mange umekoroga linye hapa isue zite ni ngada
 
You're so stupid, hebu na wewe tengeneza bifu na watu ili uwe unaletewa pesa.
Hahahaaa....gwajima kumbe na huku unapiga mikwara mbuzi!...nami naomba uniombee nife kabla ya siku ya mwisho kusimama!.
 
Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
Sio wote watakaoupakua. Wengi watasikilizishana tu
 
Diamond kimbelembele chake kitamponza tuyajue tusiyoyajua yanayomuhusu, don't mess with Gwajima/Mange. Tukutane kesho kanisani ufufuo na uzima
Hehehe!!!
Don't Mess with Gwajima!!

A one Man Army!

Usijaribu kuonja Moto kwa kutumia Ulimi.
Akikupiga mapigo yake habari zako zitasambaa Galilaya nzima Mpaka Madina.
 
Hamna dawa wala nini, kachekelea tu.....shule ni muhimu jamani,mkasome.
 
Hapo Diamond naona kama anatia kiburi wala haombi msamaha. Mwenye kuomba msamaha haulizi kosa lake ni lipi, anatakiwa kujutia kosa.
 
Hapo Diamond naona kama anatia kiburi wala haombi msamaha. Mwenye kuomba msamaha haulizi kosa lake ni lipi, anatakiwa kujutia kosa.

Mkuu umenena
Msamaha unaanza Baada ya kukiri kosa.
Mtuhumiwa C(s,diamond) hajakubali kosa.
Timu Kiba imekurupuka imekua timu Gwajima
 
Bora usutwe na visingeli kuliko Gwaji bwax
 
Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Akibweka tu maka.haba chupi inawaloa tu, mtamkoma. huyo shoga yako chibu analijua hilo ndio maana kajiwahi kumuomba Dr. Bishop Josephat Gwajima Wa Ufufuo Na Uzima msamaha. chibu akisikilza ushauri wa mataahira kama wewe mtampoteza.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hakika usha mjua vizuri bishop,dr slaaa hana hamu na hiyo kitu inayoitwa gwajima
Mwenyewe anakwambia single touch, double manifestation[emoji1] [emoji1]
 
320d83002eae39a4bf71602d170afc9b.jpg
 
Dah..... Sasa wakiyamaliza Gwajima atafanya kazi gani? Maana kazi ya kuhubiri ameiacha amebaki kufanya ukahaba wa kisiasa [emoji13] [emoji13]
 
Hehehe!!!
Don't Mess with Gwajima!!

A one Man Army!

Usijaribu kuonja Moto kwa kutumia Ulimi.
Akikupiga mapigo yake habari zako zitasambaa Galilaya nzima Mpaka Madina.
Dah... Mtaji wa Gwajima ni Kundi kubwa la wajinga nyuma yake.... Siku wakipata akili..... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Na huyo Gwajima kwanini ajipatie umaarufu kwa kuongea maisha ya watu. Alimkejeli askofu Pengo na JK akampelekesha puta. Matokeo yake kaona anayo haki ya kuwa hakimu wa maisha ya watu.

Inaboa sana kuona kiongozi wa kiroho anaamua kuiishi fitina ambayo ni mlango mkubwa wa shetani. Haya mambo ya wachungaji kuingia kwenye vita za maneno na raia wasio na platform au wasiopenda majibizano, sio ustaarabu wala utamaduni wa kitanzania.
Ukifuatilia biblia, hata manabii wa kale ukiwazingua walikua wanakupa za uso na unakufa kabisa.
 
Lakini wanamchokoza wao hata lusekero alisema hatamnyamazia anayemchokoza ikiwezekana atamuombea afee Kabisa iwaje ww leo aje mtu kazini kwako anakupondea ufukuzwe kazi utamwachia mungu angali familia inakutegemea
Askofu Pengo alimchokoza Gwajima?. Hawa wachungaji hujisahau na huleweshwa na umaarufu pamona na fedha nyingi wanazozipata.
 
Back
Top Bottom