Diamond kaoa na wambea hawajui, kweli mwamba kaamua kuwakomesha

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Naona kama ni mpango wa kuzima kelele za Gwajima🤔🤔

Anaandika diamond...

"Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka uwe na moyo wa Subra na hasa kukaza roho pindi mtu au watu wanapokua wanakupakazia ubaya fulani kwenye jamii halaf wewe una Ukweli wake lakini unatakiwa ukae tu kimya Usijibu ilhali ukweli unao ndani…

Ila Nifah alitupa za ndaaaaani hapa: Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

"Kwakweli si jambo jepesi linataka Ustahmilivu wa hali ya juu sana, na siwezi sema eti nauweza sana, lakini namshukuru Mwenyez Mungu amenijaalia Hekima hio kwa kiwango chake, na Nimekua nikiishi hivyo kwa Muda mrefu kukaa kimya pindi yoyote akijaribu kusema lolote zidi yangu, na ndio maana ata interview nimekua naepuka kufanya skuizi…

"Japo si jambo jepesi lakini faida yake nimeiona na ni kubwa maana vita vyako inakua unapambaniwa na Mwenyez Mungu na inakufanya Uwe Mshindi kila siku….
Anyways: Najua kila mmoja wenu ana picha tofauti kabisa kuhusu Diamond Platnumz na KUOA, ila tu nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje"


​
 
Ifike mahali mnipe heshima yangu, nilishawaambia haya kitambo sana ila nikaambulia matusi mengi!
Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
 
Ifike mahali mnipe heshima yangu, nilishawaambia haya kitambo sana ila nikaambulia matusi mengi!
Mange Kimambi anasema kuna talaka 3 tayari.

Kwahiyo alioa ili aache au ndio kiki ya kumzima Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…