Diamond kaoa na wambea hawajui, kweli mwamba kaamua kuwakomesha

Diamond kaoa na wambea hawajui, kweli mwamba kaamua kuwakomesha

Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
Kijana ameshapeleka posa zaidi ya sehemu mbili tofauti na Zuchu. Yawezekana miongoni mwao alioa ila hawakuishi pamoja.
 
Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?

Wachache sana tumeelewa hiyo sentensi, Nyumbu wake wameangalia neno KUOA tu ila hawajaangalia neno ALISHAWAHI. hakuna ndoa hapo.

Ni harakati za watawala kuzima ishu za watekaji.
 
Hiyo deeping stick itasema yote mwaka huu
 
Mange Kimambi anasema kuna talaka 3 tayari.

Kwahiyo alioa ili aache au ndio kiki ya kumzima Gwajima.

Huyo mama hajawahi kuwa positive hata siku moja, kazi yake ni kuwatangazia watu mambo machafu tu, angekuwa anaishi Manzese saa hizi watu wangeshapita nae nyambaf zake
 
Harmonize kasema bro anapretend kumuoa Zuchu ili asiondoke kwenye lebel
 
Back
Top Bottom