Alishaoa na kuacha, ngoja tusubiri aseme mwenyewe.Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
Hayo sio yangu Mkuu, mimi niliwaletea habari kuhusu kuoana basi.Mange Kimambi anasema kuna talaka 3 tayari.
Kwamba kaoa na keshaacha.Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
Kijana ameshapeleka posa zaidi ya sehemu mbili tofauti na Zuchu. Yawezekana miongoni mwao alioa ila hawakuishi pamoja.Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
Diamond anamaanisha nini hapo anaposema "nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje" wewe umemuelewa?
Hahaha.... Aisee.Futa la Pididi.
hatukupi kama umenuna tuue...😂Ifike mahali mnipe heshima yangu, nilishawaambia haya kitambo sana ila nikaambulia matusi mengi!
Kitambo Tena? SI wanasema ya April na ishavunjika?🤣Ifike mahali mnipe heshima yangu, nilishawaambia haya kitambo sana ila nikaambulia matusi mengi!
Heshima yako nifaah mmbea wa jamiiforum 😄Ifike mahali mnipe heshima yangu, nilishawaambia haya kitambo sana ila nikaambulia matusi mengi!
Inachekesha sana wakati mwingine watanzania wanautahiraKwahy watu wasiendelee na maisha yao kisa gwajima?
Mange Kimambi anasema kuna talaka 3 tayari.
Kwahiyo alioa ili aache au ndio kiki ya kumzima Gwajima.