Diamond kapata dili kubwa south Afrika

Nilivyomuelewa mimi Diamond anachosema serikali ya SA inathamini mchango wa wasanii wake mpaka inawatumia kutangaza nchi Yao kwahiyo anatoa wito na tanzania ifanye hivyo! Au mimi ndo sijamuelewa!!?
 
Huo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.

Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Nia yako haswa ni nini
 
Nilivyomuelewa mimi Diamond anachosema serikali ya SA inathamini mchango wa wasanii wake mpaka inawatumia kutangaza nchi Yao kwahiyo anatoa wito na tanzania ifanye hivyo! Au mimi ndo sijamuelewa!!?
soma hapa kirisha
 
Soma vizuri alichokiandika diamond kisha urudi
 
Kwa hiyo unakubali kw sasa kuwa ngoma na video ya Aje remx ni kali....ila tusubiri video ya Harmo pengine inaweza kuwa bora kidogo?
 
Msanii mkubwa mwenzi sana video ina view laki 5 wakati diamond milion tano paka kijuso imewaachambali sana

Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
 
Huo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.

Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Mi mwanaume bhana natambua thaman ya mtu na kazi yake sichukui vya bure hata mara moja
 
Wabongo sijui tumerogwa na nani kama unampenda msanii ni vizuri ukanunua kazi yake ili na yeye ajikimu kimaisha tusipende sana miteremko wakati mwingine tunawadidimiza hawa wasanii wetu wanahitaji sana support yetu kupeleka mziki wetu mbele hasa kwa kununua kazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…