Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nia yako haswa ni niniHuo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.
Soma vizuri alichokiandika diamond kisha urudiNilivyomuelewa mimi Diamond anachosema serikali ya SA inathamini mchango wa wasanii wake mpaka inawatumia kutangaza nchi Yao kwahiyo anatoa wito na tanzania ifanye hivyo! Au mimi ndo sijamuelewa!!?
Soma vizuri alichokiandika diamond kisha urudi
Hamorapa 3- Harmonize 0, na wewe ngapi?Huyo anashindana na Role Model wake.
mpaka sasa HarmoRapa 3-Harmonize 0
sawa wewe unaejuaTayari huyo ajui kama ww
Ww usipo nunua mm ninanunua na wengine wengi kama mm alikiba ajui kitu ni boya kama ww tu unayemshabikia unatumia nguvu nyingi kupambana na wcb ili upate umarufu atugawi kiki tena ili kujua huyo unayemshabikia yupo levo ya chini sana kimziki ngoja video ya huu wimbo niambie itoke kama ajaipita aje rmx view mbali
Msanii mkubwa mwenzi sana video ina view laki 5 wakati diamond milion tano paka kijuso imewaachambali sanaKwa hiyo unakubali kw sasa kuwa ngoma na video ya Aje remx ni kali....ila tusubiri video ya Harmo pengine inaweza kuwa bora kidogo?
Mi mwanaume bhana natambua thaman ya mtu na kazi yake sichukui vya bure hata mara mojaHuo wimbo wa Role Model wa HarmoRapa umetapakaa kwenye Blogs na website zote tena unapakua bure.
Ni mjinga tu ambae ataenda kununua kitu kinachopatikana bure tena kwa ubora ule ule.