Diamond kapoteza mvuto?

Diamond kapoteza mvuto?

Mkuu
Jamaa alikua talented sana
Mimi binafsi dunia nzima nasikiliza nyimbo za fally ipupa na baadhi za diamond (mfano ntampatawapi,nataka kulewa,i miss you)
Ila sikuizi naona nyimbo zake ndio kuna tatizo kama sio hivo basi lifestyle yake imemponza once again nasema jamaa ana kipaji ila saivi kuna tatizo mahali anakosea
Mtazoea tu hii ni dunia ya tatu , mbona huko dunia ya kwanza watu wamezoea na wanatengeneza pesa humo humo , ni suala la muda tu
 
Wewe umpende mobetto afu ufanikiwe kila siku mogogoro mara kesi mala nini Diamond nyota ilipungua baada ya kuwa na mobetto
 
Mkuu sijakuelewa ni ipi hasa hoja yako ? Emu fafanua
Hizi drama , ni jambo la kawaida sana , mfano kim kardashian mpaka video yake ya ngono tuliiona, lakini umeona trump alimuita ikulu kwa heshima kubwa kabisa, wenzetu wanaheshimu haki za mtu mmoja mmoja muhimu afike miaka 18, uhuru wa mtu uheshimiwe , muhimu asivunje sheria za nchi
 
Hizi drama , ni jambo la kawaida sana , mfano kim kardashian mpaka video yake ya ngono tuliiona, lakini umeona trump alimuita ikulu kwa heshima kubwa kabisa, wenzetu wanaheshimu haki za mtu mmoja mmoja muhimu afike miaka 18, uhuru wa mtu uheshimiwe , muhimu asivunje sheria za nchi
Ooh hapo nimekuelewa mkuu. Ila kwa bongo hiyo inakukosesha ma deal nk
 
Watanzania katika ubora wao kama wote!!
Hivi ninyi mtaisha lini kujadili ya wenzenu na mkafanya yenu ili mpige hatua ili ninyi pia tuwajue??
Katika safari ya mafanikio kuna fluctuations za kutosha tu yaani Leo waweza panda kesho ukashuka,it's life just get used to it!
Hata bahari hupwa na kujaa so binadamu ni nani yeye asipande na kushuka??
Mwacheni kijana wa watu aendelee kuipeperusha bendera ya Tanzania.
Ninyi mmeshindwa hata kufanya juhudi za kujulikana hapo mtaani kwenu maana hamna lolote la maana mlifanyalo chini ya jua!
Chakusikitisha zaidi wanaume wazima mmekalia umbeya kuliko wake zenu,shame upon you!!
 
Hata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Hapo bado ana show Canada miji mitatu au labda unamzungumzia Diamond mwengine au labda umetumwa umuharibie kwa mzushia jamaa, kwa kifupi mwaka huu hayupo msanii yoyote aliyepiga show kumzidi Mondi na jamaa kila siku anakuwa, nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambazo hajapiga show ni Angola, lkn nchi zote kamaliza tena kafanya kwenye open space.
mtoa post aje na data za Davido na Wizkid..sio porojo, tunataka ushahidi kama huu
 
Samahani ndugu lini aliwahi kuwazidi davido na wizkid?
 
Diamond ovyo tu minyimbo yake inatamba siku 2 ya 3 haina mvuto wakati King Kiba nyimbo zake ukizisikiliza utadhani kaitunga Leo yani nyimbo zina mvuto,kiukweli kwa wasanii wa hapa bongo ninaowasikiliza nyimbo zao ni Joh Makini na King Kiba ndo nyimbo zao ninazo sio hizo takataka nyingine
Kuna mijitu inaakili za kimavimavi tu. Sasa kama unamsikiliza kiba utamsikilizaje Diamond. Mimi namsikiliza Diamond. Nyimbo zake zinachuja kwapani kwako labda
 
Kuna sehemu Mondi anakosea,either management yake au yeye mwenyewe,maisha binafisi nakuchanganya na kazi vitamfanya apoteze mvuto!!

Diamond karanga ndo zishatoka sokoni,ingawa sio zake 100%, Chibu perfume,sijui ziko wapi ingawa nazo sio zake 100%!! Wasafi tv and Radio pia tutakuja sikia sio zake 100%!!

Tukirudi kwenye matangazo hasa ya coys kubwa kubwa,voda na dstv ndo hana tena contract nao,kabakiza Coca Cola tu,napo sio sana!!

Tukumbuke EA kuna mtu alikua anapiga show za ndani na Nje kama Jose Chameleon wa Uganda??? Hadi kuitwa Dr Chameleon!! Lakini kwa sasa,kapoa sana!! Ingawa sijui,kama ana miradi mikubwa sana! Maisha yanabadilika sana,zamani kutoka tegeta hadi posta kulikua na billboard outdoors nyingi sana roads,but kwa sasa hakuna kabisa,watu wanahamia kwenye digital advert!!!
 
Naweza nikasema Diamond na ruge wote wanategemeana kila mmoja amethirika kibiashara mfano ruge mpaka sasa fiesta inakuja lakini haieleweki wasanii gani atawatumia kujaza show mana mtaani ndo kunaongea mda wote wanasikiliza nyimbo za wasafi pia diamond wasanii wake mboso na lavalava wameshindwa kukuwa pia kuna wadhamini wakubwa wanashindwa kufanya mikataba nae kutokana na redio kubwa kutofanya promo ya kazi za diamond
 
Back
Top Bottom