masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Jiamini wewe , watu watakushika kalio umetulia tu kisa wakubwaAlafu sikuhizi hata matangazo hana,
Vodacom , Dstv wamemkimbiaa.
Alishindwa kula na wakubwa akang'ang'ania wahuni kina Salama.
Kunguru hafugiki
Mtazoea tu hii ni dunia ya tatu , mbona huko dunia ya kwanza watu wamezoea na wanatengeneza pesa humo humo , ni suala la muda tuMkuu
Jamaa alikua talented sana
Mimi binafsi dunia nzima nasikiliza nyimbo za fally ipupa na baadhi za diamond (mfano ntampatawapi,nataka kulewa,i miss you)
Ila sikuizi naona nyimbo zake ndio kuna tatizo kama sio hivo basi lifestyle yake imemponza once again nasema jamaa ana kipaji ila saivi kuna tatizo mahali anakosea
Mkuu sijakuelewa ni ipi hasa hoja yako ? Emu fafanuaMtazoea tu hii ni dunia ya tatu , mbona huko dunia ya kwanza watu wamezoea na wanatengeneza pesa humo humo , ni suala la muda tu
Hizi drama , ni jambo la kawaida sana , mfano kim kardashian mpaka video yake ya ngono tuliiona, lakini umeona trump alimuita ikulu kwa heshima kubwa kabisa, wenzetu wanaheshimu haki za mtu mmoja mmoja muhimu afike miaka 18, uhuru wa mtu uheshimiwe , muhimu asivunje sheria za nchiMkuu sijakuelewa ni ipi hasa hoja yako ? Emu fafanua
Nyota ni story za kufikirika, muhimu ni mipango na utekelezajiWewe umpende mobetto afu ufanikiwe kila siku mogogoro mara kesi mala nini Diamond nyota ilipungua baada ya kuwa na mobetto
Ooh hapo nimekuelewa mkuu. Ila kwa bongo hiyo inakukosesha ma deal nkHizi drama , ni jambo la kawaida sana , mfano kim kardashian mpaka video yake ya ngono tuliiona, lakini umeona trump alimuita ikulu kwa heshima kubwa kabisa, wenzetu wanaheshimu haki za mtu mmoja mmoja muhimu afike miaka 18, uhuru wa mtu uheshimiwe , muhimu asivunje sheria za nchi
Mda ni mwalimu tosha, mengi tumekubali kubadilika, hata hili ni suala la mda tuOoh hapo nimekuelewa mkuu. Ila kwa bongo hiyo inakukosesha ma deal nk
mtoa post aje na data za Davido na Wizkid..sio porojo, tunataka ushahidi kama huuHata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Hapo bado ana show Canada miji mitatu au labda unamzungumzia Diamond mwengine au labda umetumwa umuharibie kwa mzushia jamaa, kwa kifupi mwaka huu hayupo msanii yoyote aliyepiga show kumzidi Mondi na jamaa kila siku anakuwa, nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambazo hajapiga show ni Angola, lkn nchi zote kamaliza tena kafanya kwenye open space.
Kuna mijitu inaakili za kimavimavi tu. Sasa kama unamsikiliza kiba utamsikilizaje Diamond. Mimi namsikiliza Diamond. Nyimbo zake zinachuja kwapani kwako labdaDiamond ovyo tu minyimbo yake inatamba siku 2 ya 3 haina mvuto wakati King Kiba nyimbo zake ukizisikiliza utadhani kaitunga Leo yani nyimbo zina mvuto,kiukweli kwa wasanii wa hapa bongo ninaowasikiliza nyimbo zao ni Joh Makini na King Kiba ndo nyimbo zao ninazo sio hizo takataka nyingine
Mama yako ndo ataokotaHana kitu kichwani huyu jamaa ni upepo ulimkalia vizuri ila kwa sasa ni byebye very soon ataokota makopo
Vyuma vmekaza jomba hao Vodacom had lig kuu wamesusa sembuse DOMO!!Jiamini wewe , watu watakushika kalio umetulia tu kisa wakubwa
No wonder... kumbe we ni meneja wake. Afadhali mmekubali kubadilika.Mda ni mwalimu tosha, mengi tumekubali kubadilika, hata hili ni suala la mda tu