Hamna mtu anayependa huo ushenzi ndo maana sasa inakula kwake ukichangia na familia yake ya kiswahili iliyokosa mwanaume ka baba basi ni shidaNdo maana nimekwambia hao unaosema wewe wanadhalilishwa wanapenda hivyo anavyowafanyia
Duh! Mbona unasha matusi tena.Mama yako ndo ataokota
Well Said and Best analysed,haters wakalie kwa uchungu doleni kule kati ya pemba na Mombasa....Hata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Hapo bado ana show Canada miji mitatu au labda unamzungumzia Diamond mwengine au labda umetumwa umuharibie kwa mzushia jamaa, kwa kifupi mwaka huu hayupo msanii yoyote aliyepiga show kumzidi Mondi na jamaa kila siku anakuwa, nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambazo hajapiga show ni Angola, lkn nchi zote kamaliza tena kafanya kwenye open space.
Niongezee kidogo, hapao awali baada ya jamaa kukosana na clouds fm...watu walitabiri huenda ikawa ndio mwisho wake lkn hili halijawezekana, Na ushahidi ni kwamba hata wasanii wamegendua ustrong wa jamaa. Ndio maana now days wasanii hawaogopi kuside Sana WCB Kama mwanzo Kwa kuhofia huenda wakachukiwa Na wao.... Hii inathibitishwa Na collabe ya dully Na konde, Ben Pol Na konde boy, JuX kweny jibebe challenge, iren , gigy na juz amber kuhojiwa kwa nin anajipendekeza wasafi katoa majibu, hii inaonesha jamaa wana support kubwa.... Kweny udaku huku WCB ndio associators wa gossip zote hapa bongo, itabid ujue mobeto katrend kisa ana confront na team mond matokeo yake clouds wakamtumia kama MC, jiulize tu kuhusu fiesta mwaka huu alaf fanya tathmini ya wasanii mbali na WCB 20 wanaoweza kusimamisha mji...... Yan mtoa mada unasemaje jamaa anaporomoka wakati now days kila mtu anataka ajira paleb WCB kuanzia presenter, MCs, artist, photographer, dancers na wengine........Labda utueleze uko kushuka unakokusema labda siss hatujui tafsiri yakeNahisi haumfahamu diamond vizuri labda nikueleweshe kidogo diamond ni nani?
HOJA YA UMILIKI KIBIASHARA
Hakuna mtu ambaye anaumiliki wa kila kitu kwa asilimia mia moja... inabid ukiri tyu kuwa kwenye biashara ww bado kabisaaaa.... hata haujui mfumo wa biashara unavoenda... tukianzia hapa bongo bakhresa ana umiliki wa 80% wa azamu... mo dewji ana umilik wa asilimia 65% wa kampuni yake.... dangote pia... njoo kwa bill gates tajiri wa dunia ana hisa nyingi microsoft... inamaana kuwa hana umiliki wa 100%. Mark zugerberg mwenyewe mitandao ya kijamii hana umilik wa asilimia zote.... so sio ajabu kwa diamond kuwa na umiliki wa hata nusu vya vile anavomiliki wengine wakashika kulikobak...
Tukija upande wa matangazo... diamond kasain mkataba na kampun ya vinywaji ya kifaransa Bellaire... kasain mkataba na gucci kampuni kubwa duniani la nguo ambao wanavalisha lebo na familia nzima... Bado pia dili na Safaricom ya kenya...
Kwa upande wa show...
Mwanzoni tu mwa mwaka huu alipiga show tano mfululizo Kenya... akaja akapiga show kubwa kabisa kenya hukohuko siku ya uzinduzi wa albam yake ya "a boy from tandale".... km hiyo haitoshi akafanya tour katika miji kumi huko marekani... hakukaa akaelekea mayotte ambako nako akafunika vya kutosha... hakupoa tena huyooo madagaskar ambako akaenda kujaza uwanja wa mpira... Hapo bado haitoshi ana show tatu kubwa huko Kanada... kuna One music fest dubai... kuna nyingine hv karibuni namibia.... Pia kuna wasafi festival inakuja hapo bado kuna mtu atasema kaporomoka
Katika kuwekeza kijana katia juhudi ya hali ya juu sana... ndio msanii pekee east africa kumiliki media zake... Afrika nzima wapo wawili tu na yule wa naija.... ana karanga ambazo ofa zake hata za miss tanzania hazikuona ndani... perfume inafanya poah sana huko uarabuni... ana lebo kubwa afrika yenye wasanii wa A-Class... anamiliki mtandao wa kuuzia nyimbo wasafi.com...
Kwenye nyimbo usipime... kila songi lake ni fireee... kila kolabo lake ni hatari... wabongo wanaita homa ya jiji.... icheki african beauty, iyena, kwangwaru, time to party na inayosumbua kwa sasa #Jibebe....
Vijana wengi kawainua mond... kuanzia watangazaji, madansa, wasanii, wapigapicha, walinzi, nakadharika....
Bado skendo za ajabuajabu ambazo zimewainua wengi akiwemo Hamisa na wengine wote waliowahi kuhusishwa naye...
Kiufupi mondi sio wa kispotispoti sidhan km ataweza poromoka leo au kesho....
Mzee baba kuna uzi unaojipambanua zaidi nimeuweka kwny hili jukwaa.... naamin akisoma atauelewa na atajua diamond ni nani inawezekana akawa hamjui anauemzungumziaNiongezee kidogo, hapao awali baada ya jamaa kukosana na clouds fm...watu walitabiri huenda ikawa ndio mwisho wake lkn hili halijawezekana, Na ushahidi ni kwamba hata wasanii wamegendua ustrong wa jamaa. Ndio maana now days wasanii hawaogopi kuside Sana WCB Kama mwanzo Kwa kuhofia huenda wakachukiwa Na wao.... Hii inathibitishwa Na collabe ya dully Na konde, Ben Pol Na konde boy, JuX kweny jibebe challenge, iren , gigy na juz amber kuhojiwa kwa nin anajipendekeza wasafi katoa majibu, hii inaonesha jamaa wana support kubwa.... Kweny udaku huku WCB ndio associators wa gossip zote hapa bongo, itabid ujue mobeto katrend kisa ana confront na team mond matokeo yake clouds wakamtumia kama MC, jiulize tu kuhusu fiesta mwaka huu alaf fanya tathmini ya wasanii mbali na WCB 20 wanaoweza kusimamisha mji...... Yan mtoa mada unasemaje jamaa anaporomoka wakati now days kila mtu anataka ajira paleb WCB kuanzia presenter, MCs, artist, photographer, dancers na wengine........Labda utueleze uko kushuka unakokusema labda siss hatujui tafsiri yake
Nikishambuliwa hadharani mademu zangu huwa wakali kama hivi basi raaha!Kuna mijitu inaakili za kimavimavi tu. Sasa kama unamsikiliza kiba utamsikilizaje Diamond. Mimi namsikiliza Diamond. Nyimbo zake zinachuja kwapani kwako labda
Mapema yote hii hata kabla hajastaafu
nAAlisema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe .
at least mnamfananisha na watu hapo mwanzo mlikuwa mnamfananisha na takataka za kariakoo
kuna wanaume wako vzuri huwa hawazalilishi waliovuliana nguo,
We mtaani kwenu una mvuto wowote.?
We mbona hujakaa kimya.?Kama huna cha kuongea bora ukae kimyaaa tu[emoji850]