Hadi tunaongea hivi sasa ndani ya state house hapajaripotiwa upotevu wa aina yoyote,japo kuna uhalibifu wa mazingira wa hapa na pale na ambao sio siriazi sana kwahiyo tunaomba pasiwe na habari yoyote ya upotoshaji utakayotuaribia sisi na wageni wetu tuliowaalika,asanteni wote mulioudhuria na ambao mulionyesha ushilikiano wenu kwa namna 1 au nyingine Mungu hawabariki sana.