Diamond kapoteza tuzo moja ya Channel O

Mkuu unajua lakini sheria mpya ya makosa ya kimtandao imeanza?
 
Hadi tunaongea hivi sasa ndani ya state house hapajaripotiwa upotevu wa aina yoyote,japo kuna uhalibifu wa mazingira wa hapa na pale na ambao sio siriazi sana kwahiyo tunaomba pasiwe na habari yoyote ya upotoshaji utakayotuaribia sisi na wageni wetu tuliowaalika,asanteni wote mulioudhuria na ambao mulionyesha ushilikiano wenu kwa namna 1 au nyingine Mungu hawabariki sana.
 
Unapoteza dira na hadhi ya Jamii forums kwa kupost usengerema kama huu!hizo habari zako ziache hukohuko FB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…