Diamond karanga sijazielewa kabisa

Diamond karanga sijazielewa kabisa

amos eglan

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
310
Reaction score
463
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana mangi c ndo nikaona karanga za ndugu yetu nkasema ngoja nionee kinachopewa promo hivi kunani
Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha[emoji30] [emoji30]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Jamaa ameshindwa kufikili ubongo umeishia pale, perfume tu ndo katuteka

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana mangi c ndo nikaona karanga za ndugu yetu nkasema ngoja nionee kinachopewa promo hivi kunani
Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha[emoji30] [emoji30]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kama muda wako unautumia kulakamika jua utakuwa mlalamishi maisha yako yote halafu kama siku zingine huna cha kuundika bora kukaa kimya .Tuondokeni kwenye fikra finyu jamani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Katoa maoni ili ziboreshwe mbona povu dada

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Maoni,amfate amwambie,na ameandika kiroho roho mbaya flan,ndomana watu pov lmetoka

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hata Kiswahili hujui halafu unamponda mtu aliye thubutu kubuni mradi! Hawa ndio watanzania ! Sema kufikiri.
Ule mradi sio wake.
Zile karanga zilikuwepo, jamaa wameingia ubia na Mondi

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio karanga za Diamond....zinaitwa Diamond siku nyingi sasa hivi naona wameona wamtumie Diamond kuzi promote....nafikiri zinatengenezwa na jamaa wanaotengeneza Chama.
 
Sio karanga za Diamond....zinaitwa Diamond siku nyingi sasa hivi naona wameona wamtumie Diamond kuzi promote....nafikiri zinatengenezwa na jamaa wanaotengeneza Chama.
Ndo partnership ilivo...Karanga sio za bwana domo pekee...Yeye kaletewa deal coz of large fanbase..Ndo dunia ilivo wenye fanbase wataendelewa kuletewa madili e.g beats by Dre,ciroc etc mara nyingi ivi vtu umiliki wake ni patnership

Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
 
Sio mbaya ngoja niteme Big G kwa Karanga za kuonjeshwa...In kibaz voice..

Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
 
Wenzio wanzipenda hivyo hivyo kwa hiyo hulazimishwi,kwani zako tamu ziko wapi

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Anapiga hela

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ina maana kwa mfano wasanii wanaofanya matangazo au promo kwenye makampuni ya simu, vinywaji nk. basi tuseme tayari wana hisa au wanamiliki makampuni hayo? tujaribu kufikiria nje ya box kidogo. Diamond kuna uwezekano mkubwa katumiwa tu kwa ajili ya matangazo. Amewahi kufanya hivyo kwenye matangazo kibao nadhani hata kampuni moja iayotengeneza tomato source iliwahi kumtumia lakini sidhani kama ile kampuni ni ya kwake ingawa pia sipingi uwezekano wa kuwa na hisa mle. Pengine ni hilo jina limefanana na la kwake lakini ujue hata Diamond mwenyewe jina lake la ukweli siyo hilo, lile ni jina la kibiashara tu mtu waweza kulitumia kwa chochote kingine. Kuhusiana na ladha ya karanga hizo mbona ni nzuri tu, pengine ulikutana na pakti iliyokuwa haijakaa vizuri tu kwa bahati mbaya kwani hata mashine wakati mwingine hukosea, mbona hata viwanda vya soda wakati mwinngine vinakosea unakuta uchafu ndani ya chupa?
 
Back
Top Bottom