amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 463
Jamaa ameshindwa kufikili ubongo umeishia pale, perfume tu ndo katutekaHatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana mangi c ndo nikaona karanga za ndugu yetu nkasema ngoja nionee kinachopewa promo hivi kunani
Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha[emoji30] [emoji30]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Wewe hata Kiswahili hujui halafu unamponda mtu aliye thubutu kubuni mradi! Hawa ndio watanzania ! Sema kufikiri.Jamaa ameshindwa kufikili ubongo umeishia pale, perfume tu ndo katuteka
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenzetu unajua kufikiri, tuambie una kiwanda cha nn ili umpe ushaur afate nyayo zakoJamaa ameshindwa kufikili ubongo umeishia pale, perfume tu ndo katuteka
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kama muda wako unautumia kulakamika jua utakuwa mlalamishi maisha yako yote halafu kama siku zingine huna cha kuundika bora kukaa kimya .Tuondokeni kwenye fikra finyu jamaniHatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana mangi c ndo nikaona karanga za ndugu yetu nkasema ngoja nionee kinachopewa promo hivi kunani
Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga hamna kitu chumvi nyingi alafu zinakereketa kwenye koo sijui kwa wenzangu inshort zinakinaisha[emoji30] [emoji30]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Katoa maoni ili ziboreshwe mbona povuMwenzako kajarib,We umefanya nin cha maana dunian ka sio kuzaa watoto ama kugo.ngana
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Maoni,amfate amwambie,na ameandika kiroho roho mbaya flan,ndomana watu pov lmetokaKatoa maoni ili ziboreshwe mbona povu dada
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Ule mradi sio wake.Wewe hata Kiswahili hujui halafu unamponda mtu aliye thubutu kubuni mradi! Hawa ndio watanzania ! Sema kufikiri.
Ndo partnership ilivo...Karanga sio za bwana domo pekee...Yeye kaletewa deal coz of large fanbase..Ndo dunia ilivo wenye fanbase wataendelewa kuletewa madili e.g beats by Dre,ciroc etc mara nyingi ivi vtu umiliki wake ni patnershipSio karanga za Diamond....zinaitwa Diamond siku nyingi sasa hivi naona wameona wamtumie Diamond kuzi promote....nafikiri zinatengenezwa na jamaa wanaotengeneza Chama.