Diamond karanga sijazielewa kabisa

Wenzio wanzipenda hivyo hivyo kwa hiyo hulazimishwi,kwani zako tamu ziko wapi

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Unataka tamu zake!

brain is the beautiful part of the body.
 
Pamoja na kwamba mimi sio mshabiki wa bongo flavour na pia simkubali kabisa Diamond(Kwa sababu ya uCCM wake, nyimbo zenye matusi, Kuvaa hereni na tabia zake za kimalaya) lakini katika hili la Karanga kiukweli kabisa ni TAMU.
Zimetengezwa kwa radha nzuri sana na kuhifadhiwa katika kasha lenye uimara na mvuto.

Kitu pekee ambacho kwangu nimeona kasoro katika karanga zile ni, gharama yake ni kubwa ukilinganisha na ujazo uliopo kwenye Pakiti. Yaani Shilingi 300/= kwa punje zisizozidi 30 za karanga(Japokuwa size yake ni kubwa) hapo kibongo tumedhulumiwa.
 
Hahaha wabongo kwa maneno. Eti chumvi kali
 

Mkuu mbona nzuri tuu
Mie nakula karibu kila siku Kama 3 hivi!
Zina ladha nzuriii sana
 
Mkuu una haribu brand ya mtu ki masihara hivo unajua ka hustle vipi mpaka kuileta bidhaa dukani kapitia mangapi vipi upo tayari kuburuzwa kortini na kumlipa, au ulitaka tu kufurahisha watu kwamba nawe umeleta uzi watch out not to that extend!
 
Daah! safi saana. Karanga za Chumvi na Serengeti ya baridi, zina tulizana....Uhondo
 
ww umefanya nn cha kwako so far?

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa ameshindwa kufikili ubongo umeishia pale, perfume tu ndo katuteka

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mawazo ya waajiriwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mzeebaba kazijarbu tena
Ujue niliiona post ako bt nikaogop kukoment kbla cjajarbu bt Jana nimezitaft mpk nimezipt
Mbon zipo poa tu boc

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Sorry Hv We Ni Fans Wa Kiba Eeh Samahan Lakn
 
Nazisubiri kwa ham huku kibiti

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Sio karanga za Diamond....zinaitwa Diamond siku nyingi sasa hivi naona wameona wamtumie Diamond kuzi promote....nafikiri zinatengenezwa na jamaa wanaotengeneza Chama.
Ni kweli mkuu hizi karanga hazina mahusiano na dimond hata kidogo zaidi ya kuzitangaza tu..hizi karanga zinatengenezwa na kampuni ya SMART industries inayotengeneza Chips Snacks
 
acha ujinga katika biashara za watu
we dare to speak openly ila sio kama hivi

nimekuchana povu ruksa
 
Uliyoyaandika yote hayo, still huna hata uhakika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…