Diamond Karanga zimeishia wapi?

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What happened kwa mtu anayejua.
 
soko gumu mzee alipata hasara kubwa,,,, taarifa za ndani zinasema hivyo ..
 
Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What happened kwa mtu anayejua.
Wewe umeona diamond akizipromote hizo karanga Sasa hiv? nafikiri Kuna mgongano umetokea Kati ya diamond na kampuni inayozalisha hizo karanga.
 
Diamond koroshow au alikiba koroshow iz on ze way I sink

Ova
 
Anashea na watu hamiliki yeye 100%.
Kuanzia Wasafi media hadi perfume ni kama kwa Kiba tu Mofaya hamiliki 100%.

Ndivyo biashara kubwa hufanywa.
Tunashukuru kwa taarifa haya wataarifu na wenzio wapunguzage kutupigia kelele na kutaka kukatafutia kajitu kenu u Mungu mtu .
 
Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What happened kwa mtu anayejua.
Kuondoa uhalisia wa karanga kwa kuweka vitu vya ziada kama sukari ilikuwa kosa kubwa sana kwa hizi product za Diamond karanga .Ikumbukwe pia soko letu hapa Tanzania kwa bidhaa ambazo sio za muhimu kama Diamond karanga ni kwa ajili wa walionacho .Walionacho nao hawawezi acha kula karanga halisi na kuanza kula karanga zenye unga wa ngano mkuu .Hiyo sio karanga bali ni kitu kingine kabaisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…