Diamond kashusha ngoma mpya? Mwenye nazo atuwekee..

ha haaa haaa jamii forum bhana! kumbe haya mambo yalianza zamani kiasi hiki
 
Hahaha... Aisee,
yani huu uzi utadhani ulipostiwa juzi
 
Mbona hashuki sasa na anazid kupanda kila uchao?
 
Siku hizi ananunua views,atashuka kama Mr nice...haters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…