tuna mrecruit tutamuingiza kwenye white suger muda si mrefu. siunajua inalipa?
Sasa na wewe ndio rangi gani hizo si ndio yale yale.😛😛😛😛😛😛 sasa tutegemee nini kutoka kwa wnaume wa Dar zaidi ya hizo mambo?
We shangaa tu ndio imeshakuwa hivyo.Kama hii ikithibitika kuwa ni kweli nitamshangaa sana huyu mtu.
Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yako ila kama hili umenikwaza na sijui umewaza nini kutoboa pua?
Ebu sema sio kweli umebandika tu hiyo hereni, jamii inakuangalia kama fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now.
Unaifundisha nini? Nani aliokupa ushauri utoboe pua Zari, Rommy Jones au Babu Tale au yule dogo wa Empire? Mama yako je amekuruhusu?
Hayo mambo waachie wazungu wakina Chris Brown, Nasibu sio kila kitu cha kuiga bhana.
Msiwe wepesi wa kukubali kuchezewa akili,nakumbuka kwenye wimbo diamond aliimba na nay kuna mstar aliponda "kazi yenu kutoboa pua" akimlenga benzino..sidhani km chibu anaweza kwenda na kinyume na huo mstari....anyway ngoja tuone picha zake zijazo km atakua na tundu puani..uzuri wa chibu anajua kucheza na akili za watanzania....Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yako ila kama hili umenikwaza na sijui umewaza nini kutoboa pua?
Ebu sema sio kweli umebandika tu hiyo hereni, jamii inakuangalia kama fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now.
Unaifundisha nini? Nani aliokupa ushauri utoboe pua Zari, Rommy Jones au Babu Tale au yule dogo wa Empire? Mama yako je amekuruhusu?
Hayo mambo waachie wazungu wakina Chris Brown, Nasibu sio kila kitu cha kuiga bhana.
Weka na ww kama inapendezaAcheni ushamba nyie hiyo ni simu ata wewe unaweza kuweka
Ile sio kumpongeza, kampiga dongo kiaina "Baba Tifah you look so mwaaaah" mwisho wa kunukuu.nimeshangaa kuona ney kampongeza wakat chid alipotoboa neyalimponda
Chimbuko la wanaume wa Dar limetokana na wanaume wa Dar kupenda chips yai, ugali sembe, kuvaa chupi,kuongea umbea vijiweni, kupiga kabao kamoja kushne, kuwa kwenye mitandao yote ya kijamii na kushinda huko kutwa nzima, kuvaa milegezo, kutoboa pua na masikio e.t.c!hiv chimbuko la wanaume wa dar limeanzia waki kila sehemu ni mambo ya wanaume wa dar