Diamond katoboa pua?

Diamond katoboa pua?

Chid chi chi chid beeeeeeenzzzzzzz alianza hivi badae akawa teja huyu nae ameanza kubwia madude
 
Nilikuwa mshabiki wa huyu dogo ila kwa sasa mitaa anayo elekea siyo kabisa, na hili si kwa kisingizio cha usanii,usuperstar,au fashion ila naona kama kobe anatoka sasa kwenye gamba kuonyesha uhalisia wake yaelekea tuta shangazwa na mengi,sijui ni ile ya kukutana na Kanye kesha msajili kwenye vyama vyao?maana yule naye hasemwi vizuri,nimesha bwaga ushabiki namtakia heri.
 
Teh Teh...

Wanaume wa Kanda ya Ziwa tunasema ! Kwakuwa Diamond naye ni mwanaume wa Dar basi tuwaachie hili swala wanaume Dar mlishughulikie bila kuingiliwa na yeyote!

Tuna watakia kila la kheri.
 
Na madem watamuiga ss vipuli ktk papuchi
 
Kuna kitu nahisi kuhusu hili jambo.
1. Bado siamin kama Diamond katoboa pua, hii namna tu ya kutafuta attention

2.NAHISI kuna kazi ya Shetta na Diamond itafata siku sio nyingi mana ukiangalia mtiririko wa drama unavyoenda
3.Alianza shetta na Familia yake
4. Then Diamond na kutoboa pua
5.Baadae Thud Thomas kaandika soon.... ikimaanisha kuna kitu kinakuja
6. Ikumbukwe Godfather alishaonya zaman kuwa ujio wa Shetta wa sasa utakua mkubwa zaidi.

Najaribu kubashiri tu,na bado siamin kama Diamond katoboa pua.
 
Haya hajatoboa kashapost picha nyingine mweh
 
Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yako ila kama hili umenikwaza na sijui umewaza nini kutoboa pua?

Ebu sema sio kweli umebandika tu hiyo hereni, jamii inakuangalia kama fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now.

Unaifundisha nini? Nani aliokupa ushauri utoboe pua Zari, Rommy Jones au Babu Tale au yule dogo wa Empire? Mama yako je amekuruhusu?

Hayo mambo waachie wazungu wakina Chris Brown, Nasibu sio kila kitu cha kuiga bhana.

bb22583f944afda932d459bccbed4840.jpg
 
Msiwe wepesi wa kukubali kuchezewa akili,nakumbuka kwenye wimbo diamond aliimba na nay kuna mstar aliponda "kazi yenu kutoboa pua" akimlenga benzino..sidhani km chibu anaweza kwenda na kinyume na huo mstari....anyway ngoja tuone picha zake zijazo km atakua na tundu puani..uzuri wa chibu anajua kucheza na akili za watanzania....
 
hiv chimbuko la wanaume wa dar limeanzia waki kila sehemu ni mambo ya wanaume wa dar
Chimbuko la wanaume wa Dar limetokana na wanaume wa Dar kupenda chips yai, ugali sembe, kuvaa chupi,kuongea umbea vijiweni, kupiga kabao kamoja kushne, kuwa kwenye mitandao yote ya kijamii na kushinda huko kutwa nzima, kuvaa milegezo, kutoboa pua na masikio e.t.c!
 
Back
Top Bottom