Diamond katoboa pua?

Diamond katoboa pua?

6bfab7f92448de7e70eb15a4c8c51f7c.jpg


Hahaaaaa" nilijua tu anawachora. Kashakiziba [emoji23]

0d47ebb607b97b2df11f12a212fa8a15.jpg
 
Diamond anatoboa pua mwanamume mzima kufanya vitu vya vijinga
 
Issue ni kuvaa kipini awe katoboa hajatoboa hiyo anajua yeye.
 
Mwanaume kujiremba kama mwanamke ni stage ya kuanza kupakuliwa.
 
Your going too far vijana wa bongo, atoboe asitoboe its his life.
Kila mtu ana uhuru kufanya atakayo
 
Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yako ila kama hili umenikwaza na sijui umewaza nini kutoboa pua?

Ebu sema sio kweli umebandika tu hiyo hereni, jamii inakuangalia kama fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now.

Unaifundisha nini? Nani aliokupa ushauri utoboe pua Zari, Rommy Jones au Babu Tale au yule dogo wa Empire? Mama yako je amekuruhusu?

Hayo mambo waachie wazungu wakina Chris Brown, Nasibu sio kila kitu cha kuiga bhana.

bb22583f944afda932d459bccbed4840.jpg

===========

UPDATE:

Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.

Ukweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>> ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’

View attachment 335524

Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.

View attachment 335525


Chanzo: MillardAyo.com
Hata akiamua kuwa shoga si yeye
 
Ni msanii.
Heri yake ana vijisenti nyie mmekaa kimbeya mbeya tu;
 
Back
Top Bottom