Diamond kaza uzi Rayyvann anakuja kwa kasi

Yap ni Ya kusikiliza ghetto tu ndio maana katumia beat ya lil bow wow - That's my name.(Bow wow)
 
wapi niliposema asisaidiwe?
Uwe unasoma na kuelewa usikurupuke

Nilichokisema ni kuwa diamond aongeze juhudi zaidi asibweteke na mafanikio yake kwa kuwa atawakosa mashabiki wake kwa kuwa kijana Raymond ameonesha ushindani wa hali ya juu
Kwani wanashindana?

Huko ni kupandikiza chuki
 

Ingawa unasema wewe ni shabiki wa Diamond, ila ujumbe wako umekaa kichochezi zaid. Mfano kama baba akiwa mwalimu alaf mtoto wake anaelekea flani kuwa rubani; itakuwa inawezekana vipi mtoto awe anamvua nguo tena baba ake wakati baba mwenyew ana tamani dogo litikise!? Hamna sababu ya Diamond kuweka mawazo ya kiushindani na mtu ambae ni kama mtoto wake kimuzik, itamfanya asimpee fursa zote zinazopasa kwa kuhofia kupoteza nafasi yake.
Bythway wote wanapaswa wafanye vyema wakuze brand yao
 
Hiyo ni Roho mbaya mkuu..ina maana unataka awachukue watu wabovu kwenye Label yake ili wasimzidi muziki mzuri?!

Kumbuka Diamond ameanzisha WCB brand kwa ajili ya Biashara na sio kituo cha msaada wa kuwainua wasanii.Na ndio maana amesaini wasanii wazuri ili pesa irudi mfukoni mwake..
Sasa akisaini wasanii wabovu haitokuwa biashara tena maana hawatouzika mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…