Oluwa ni
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 717
- 445
Mmhmm ilo nalo neno lkn..
Mamb yanabadlika ndo maana mwalim anakufundsha mwsho wa ck unafanikiw zaid yey anakufa kwa vumbi la chaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhmm ilo nalo neno lkn..
Yap ni Ya kusikiliza ghetto tu ndio maana katumia beat ya lil bow wow - That's my name.(Bow wow)Ile sugu kama amefanya just kwa kujifurahisha na vitu ka hizo hapo sawa ila kama ni official track aisee hapana hauwezi kuisukuma ngoma kama ile sema kwa sababu sisi wabongo tumekariri watu wa kuwasapot utashangaa ikiombwa redioni!!! Ila ni ngoma ya kusikiliza geto tu kusogeza muda
Mbona ruge n sugu wapo fresh cku izi ruge alimlipaga hela zke suguKuna ile chorus ina sound kama sugu / mr 2
Kwani wanashindana?wapi niliposema asisaidiwe?
Uwe unasoma na kuelewa usikurupuke
Nilichokisema ni kuwa diamond aongeze juhudi zaidi asibweteke na mafanikio yake kwa kuwa atawakosa mashabiki wake kwa kuwa kijana Raymond ameonesha ushindani wa hali ya juu
Baba la baba diamond platnumz chibu dangote simba kaza mdogo wangu huyu kijana rayyvann anakuja kwa kasi sana
Ingawa ni kitu kizuri kuona kijana anazidi kufanikiwa tena isitoshe yupo katika lebel yako ila nakusihi mdogo wangu huyu dogo atakuvua nguo huko mbeleni usipokuwa makini utaonekana si chochote mbele yake ,kaza kamba sana toa mawe ya kueleweka zaidi
Kijana kafanya vizuri sana katika ngoma yake ya Sugu nina imani na wewe pia utakuwa hujaniangusha katika ngoma yako na Richard mavoko
Kwa leo yangu ndo hayo tu ni mimi shabiki wako nambari moko peninsula xavier dos santos from mpumalanga