CCM si wapo milioni sita wakimpigia zinatosha
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana
nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere
nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake
mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm
kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo
Ndo mwisho wa yeye kupokea tuzo, nilishasema amejimaliza officially, wengine hawakunielewa. Sasa atajua tulimaanisha nini!! Game over!!
Pindi nyinyi munahangaika kumshusha mwenzenu yupo huku
Haina shida, hao hao ndio watampigia kura
Hata Msipompigia Wapo Watakao Mpgia Weng Tu....Kwan Ukawa Mmesikia Ni Tz Nzima?Kwan Umesikia Mashabiki Wake Ni Watz Peke Yake?Ngoja Arudi Na Tuzo Ndo Hapo Mtaelewa Kama Matusi Yenu Yanafanyakazi Au La!!Ney Wa Mitego Mbna Yupo Ukawa Na Hamna Mwanaccm Anaye Mtukana Wala Nin Na Miziki Yake Tunasikiliza Kama Kawaida.Mtu Kuwa Upande Fulani Kusiwaondolee Uzalendo Wa Kumsupport Ktk Kipaji Chake Kama Ni Kizuru Na Kama Anaitangaza Vyema Nchi Yetu.
Hakuna kumpigia kura apigiwe na familia yake na uvccm ajifunzee
Ndo mwisho wa yeye kupokea tuzo, nilishasema amejimaliza officially, wengine hawakunielewa. Sasa atajua tulimaanisha nini!! Game over!!
Hatumpigii kura ng'o
Hata Msipompigia Wapo Watakao Mpgia Weng Tu....Kwan Ukawa Mmesikia Ni Tz Nzima?Kwan Umesikia Mashabiki Wake Ni Watz Peke Yake?Ngoja Arudi Na Tuzo Ndo Hapo Mtaelewa Kama Matusi Yenu Yanafanyakazi Au La!!Ney Wa Mitego Mbna Yupo Ukawa Na Hamna Mwanaccm Anaye Mtukana Wala Nin Na Miziki Yake Tunasikiliza Kama Kawaida.Mtu Kuwa Upande Fulani Kusiwaondolee Uzalendo Wa Kumsupport Ktk Kipaji Chake Kama Ni Kizuru Na Kama Anaitangaza Vyema Nchi Yetu.
akishindwa diamond hashindwi yeye tu ni tanzania nzima tunashindwa
nani ampigie kura diamond? nitawapigia wanaoshindana nae hata kama ni wasomali.
Msipo mpigia kura nyie sisi tusio mashabiki wa siasa tutampigia sana riziki kama IPO IPO tu binadamu hawezi izuia