Diamond kila anapogusa moto

Diamond kila anapogusa moto

Atajuta tu maana ccm ni wazee na sasa wapige kura na show zake zake waende!
 
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana

nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere

nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake

mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm

kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo

Ww kijuu cha ibirisi nani lakwambia hayo maneno
 
Hata Msipompigia Wapo Watakao Mpgia Weng Tu....Kwan Ukawa Mmesikia Ni Tz Nzima?Kwan Umesikia Mashabiki Wake Ni Watz Peke Yake?Ngoja Arudi Na Tuzo Ndo Hapo Mtaelewa Kama Matusi Yenu Yanafanyakazi Au La!!Ney Wa Mitego Mbna Yupo Ukawa Na Hamna Mwanaccm Anaye Mtukana Wala Nin Na Miziki Yake Tunasikiliza Kama Kawaida.Mtu Kuwa Upande Fulani Kusiwaondolee Uzalendo Wa Kumsupport Ktk Kipaji Chake Kama Ni Kizuru Na Kama Anaitangaza Vyema Nchi Yetu.

Wametafuta pa kumsemea mbaya tu hawa jamaa ndio waliokuwa wanampigia kura Davido MTVMAMA wakakaa
 
Hakuna kumpigia kura apigiwe na familia yake na uvccm ajifunzee

hapa kimechoongezeka ni matusi tu na pungufu ya kura km 300 hivi za wapiga kelele kati ya kura zaidi ya milion 4 ambazo ni kawaida yake kuzichota. sio kila unayemchukia unataka ashindwe kwa sababu tu ya utofauti wa kimtazamo. Ndani ya familia yako pengine(sio kweli) wewe ni mkoloni zaidi ya wale ndugu zetu weupe.
 
Ndo mwisho wa yeye kupokea tuzo, nilishasema amejimaliza officially, wengine hawakunielewa. Sasa atajua tulimaanisha nini!! Game over!!

Duh jamaa huoni hata noma eti officially amejimaliza hatopokea tuzo.
 
Hata Msipompigia Wapo Watakao Mpgia Weng Tu....Kwan Ukawa Mmesikia Ni Tz Nzima?Kwan Umesikia Mashabiki Wake Ni Watz Peke Yake?Ngoja Arudi Na Tuzo Ndo Hapo Mtaelewa Kama Matusi Yenu Yanafanyakazi Au La!!Ney Wa Mitego Mbna Yupo Ukawa Na Hamna Mwanaccm Anaye Mtukana Wala Nin Na Miziki Yake Tunasikiliza Kama Kawaida.Mtu Kuwa Upande Fulani Kusiwaondolee Uzalendo Wa Kumsupport Ktk Kipaji Chake Kama Ni Kizuru Na Kama Anaitangaza Vyema Nchi Yetu.

Nenda zako.huko hebu kajifungue kwanza ndio uje hapa na ujinga kama hup kulamba ndim
 
nani ampigie kura diamond? nitawapigia wanaoshindana nae hata kama ni wasomali.

Hilo ndo tatizo..niliwahi kuandika..hii issue ya domo kuishabikia ccm ita mcost..sasa hizi ndo cost zake..mfanyabiashara makini ili auze bidhaa zake na kufanikisha malengo yake hawezi kuegemea upande wowote..ni lazima uwe neutral. .labda ni mbumbumbu tu asiyeweza kuligundua hilo..pole sana domo!
 
Msipo mpigia kura nyie sisi tusio mashabiki wa siasa tutampigia sana riziki kama IPO IPO tu binadamu hawezi izuia

Nyamaza kwani.hakujua kama mpo.mbn anajikomba sasa Aliambiwa awaulize kilichowapata kina marlow

Nilikuwa cmpendi kabsa ingawa nyimbo.zake mbili.nazipenda kama nitarejea na lala salama lkn alipoenda ccm ndio kajitoa mwenyewe moyoni mwangu
 
Ndo mwisho wa yeye kupokea tuzo, nilishasema amejimaliza officially, wengine hawakunielewa. Sasa atajua tulimaanisha nini!! Game over!!

familia yako yote inamshabikia Diamond, ni wewe tu hujitambua ebu tafakari umepunguza nn hiyo kura yako moja kwa familia nzima. Na ukijaribu kuzaa katoto kengine umemuongezea Diamond mtu wa kumshabikia
 
Back
Top Bottom