Diamond kila anapogusa moto

Nyamaza kwani.hakujua kama mpo.mbn anajikomba sasa Aliambiwa awaulize kilichowapata kina marlow

Nilikuwa cmpendi kabsa ingawa nyimbo.zake mbili.nazipenda kama nitarejea na lala salama lkn alipoenda ccm ndio kajitoa mwenyewe moyoni mwangu

Heeee wewe nikama nani wakuninyamazisha nichukie nyimbo zake Kisa hajafata matakwa yako ya kisiasa kwa lipi hasa ebu nipishe nitapenda nyimbo zake nanitampigia kura kwani kwa walazimisha mmpigie.
 
Najua inauma ila vumilia tu dbanj anaomba kupiga picha na daimond we nani?

Akamwombe dbaji kura bac..au aombe wanaigeria si wapo wengi..sisi vijana tunajaribu kuikomboa nchi yeye anajikomba kwa kuwa sacrifice vijana wenzako nao wamtoa maamuzi magumu ya kum sacrifice yeye!..no huruma hapa gonga tegemea kugongwa nyundo!
 
Kweli kuna watu wapumbavu na malofa hasa, hivi DIAMOND anaweza kukutoa wewe kwenye chama unachokishabikia kisa yeye anakipigia promo ccm au ni vile munamchukia toka zamani kwa hiyo munajificha ktk kivuli cha siasa ......... sasa ngoja niwaambie tupo wengi sana tunaompenda na tutaendelea kumpenda na kura tutampigia na anazostahili atashinda na nyinyi hamujaanza leo kumchukia ni kama muendelezo tu hautupi shida na yeye anawajua ndo mana hawajali na anazidi kuposti na ataendelea kuposti na tangu mulipoanza kumchukia hajawahi kushuka ndo kwanza anazidi kupanda tu
 

Tatizo nikimpigia ni sawa na kumpigia Mbunge wa Chichiem yaani sijui nifanyeje?Zamani nilikuwa mwepesi lakini sasa hivi?sijui nifumbe macho?
 
Msipo mpigia kura nyie sisi tusio mashabiki wa siasa tutampigia sana riziki kama IPO IPO tu binadamu hawezi izuia

Kwa kuwa hataipigia kura UKAWA,nasi UKAWA hatutampigia kura.
 
Ni hiviiii hatupigi kuraa yale magroup ya kusapoti Dai apigiwe kura yamegeuka hatusapoti tenaaa
 
Nishampigia kura, na jamaa zangu kibao washampigia, huo ulofa wenu tafuteni nchi yenu mkaishi na chama kimoja, hii sio nchi ya kifalme kila mmoja anahaki ya kupenda atakacho tutoleeni upumbavu wenu hapa
 
mimi ni shabiki mkubwa wa DIAMOND ila kwa sasa namuona kama KINYESI....sitaki kumuona wala kumsikia kabisa
 
Kwa kuwa hataipigia kura UKAWA,nasi UKAWA hatutampigia kura.
Wewe usiwe na akili za kushikiwa hivi ukishaingia chumba cha kupigia kura ukishatoka tutazibitishaje kama kweli wewe uliwapigia Ukawa ???????????????acheni kuzilazimisha chuki zenu binafsi kuzifanya za watu wote umempigia au hukumpigia yeye hajakufata nyumbani kwako ila anaomba kura zetu kupitia kurasa zake ni juu yako na wala hakulazimishi kuingia kwenye kurasa zake ni wewe tu na kiherehere chako tu.
 
Tatizo nikimpigia ni sawa na kumpigia Mbunge wa Chichiem yaani sijui nifanyeje?Zamani nilikuwa mwepesi lakini sasa hivi?sijui nifumbe macho?
Hakupigii cm na hapandi jukwaani kuomba kura yako wala hakulazimishi kuingia kwenye page zake za ig,facebook wala twitter ambako ndo kaweka maombi ya kumpigia kura
 

Nilikuwa napachika sindano gizani ili nisikie kelele.Kumbe kina bosslady mpo.teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…