Yaan apa umenena coz mbona kina wema,nay,wolper etc wapo uko na nobody care! Ishu ni kwamba dogo kasema hategemei show za ndani na tusimbabaishe! Tunasema sawa ila Kulikua kuna mtu anaitwa Mr nice alishika pesa na kufahamika zaidi yake kipindi technology ilikua chini kabsa!
Mbadala wa hili zumbukuku ni dogo Baraka da Prince...likafie Lumumba hukoo
aulize marlow yuko wapi...siasa imempoteza kushadadia green team,
Yaan apa umenena coz mbona kina wema,nay,wolper etc wapo uko na nobody care! Ishu ni kwamba dogo kasema hategemei show za ndani na tusimbabaishe! Tunasema sawa ila Kulikua kuna mtu anaitwa Mr nice alishika pesa na kufahamika zaidi yake kipindi technology ilikua chini kabsa!
Hakuna kumpigia kura apigiwe na familia yake na uvccm ajifunzee
Yaan apa umenena coz mbona kina wema,nay,wolper etc wapo uko na nobody care! Ishu ni kwamba dogo kasema hategemei show za ndani na tusimbabaishe! Tunasema sawa ila Kulikua kuna mtu anaitwa Mr nice alishika pesa na kufahamika zaidi yake kipindi technology ilikua chini kabsa!
Akamwombe dbaji kura bac..au aombe wanaigeria si wapo wengi..sisi vijana tunajaribu kuikomboa nchi yeye anajikomba kwa kuwa sacrifice vijana wenzako nao wamtoa maamuzi magumu ya kum sacrifice yeye!..no huruma hapa gonga tegemea kugongwa nyundo!
, Uzuri wa #WCB huwa tunaongea Lugha moja na tunaelewa.
Eti mtu anakazana kabisa tutamshusha Diamond! Mtu mwenyewe si apeche si alolo hana analomiliki zaidi ya Elfu 5 na mdomo wa kwenda kuzomea kwenye fiesta.
Unawezaje kumshusha mtu, who are you in the World! ? Unamiliki media gani itakayokuwezesha kumpublish diamond negatively? Je unauhakika gani watu wote watakuelewa na watakubaliana na wewe.
Hamna mnachomiliki Zaidi ya account za Facebook na instagram zenye followers wasiozidi 20. Halafu mmekalia kutupigia kelele hapa!
Watu wenyewe wanaopiga kelele humu usikute hamjawahi kumpigia kura hata sehemu moja ila kwakuwa mnamchukia mmepata upenyo wa kupitisha chuki zenu.
Hizo over confidence za kujiona mnaweza kumshusha mtu why msizitumie kuwapandisha wale wanaosupport upande wao tuone kama kweli wanamiliki Riziki za watu.
Na yeye wala hakuwahi kuhisi uwepo wako, na hajaona ulichompunguzia
Endeleeni na vinyodo vyenu tu
tushawashtukia hawa watu wa kaskazini ,ndio maana sisi kambi ya dangote hatuwapendi kabisa
Team kiba na Bavicha naona mnajitahidi sana kumshusha kijana lakini mnashindwa!mmebaki tu subiri subiri na time will tell!looh
Poleni sana jamani vumilieni tu maana siasa ndivyo ilivyo,nahisi mtakufa kabisa siku Ngoyai akichinjwa kwa mara ya pili
Kama ni swala la wakati basi hata wewe hiko unachokifanya leo hautakifanya na muda unamuhusu kila mtu.Ukweli huweka watu huru it's just a matter of time dude time will tell
Ndio mimi je si ruhusiwi kujibu ??????????????Mkuu au wewe ndie ndomondi nini???.
Mbona waongea kwa uchungu??