Diamond kila anapogusa moto

Diamond kila anapogusa moto

Wakati huu ndio atahisi mara baada ya kura zake kupotew.Subiri uone..
Mara ya kwanza DIAMOND kuingia ktk tuzo za kimataifa ilikuwa 2010 nyimbo ilikuwa mbagala akakosa tuzo kwahiyo hatoshangaa kukosa.
 
Dah..' i mis u guyz.. Tukutane mwakan. Siasa zimeniamisha jukwaa hli.
 
Alitakiwa awe kimya..asipost mambo mambo ya siasa ..

Mwache CCM itakapopigwa chini na yeye kunyang'anywa mtoto ndio atajifunza kuwa ukuwadi kwa wanasiasa ni ugonjwa wa ukoma
 
Kura tulipiga familia nzima kila siku kura 20 wakati ule;
heee dogo kaamua kuingia green na sie tukamalizana naye

Ngoja vijana wa Lumumba watampigia tu.

siamini Kama Ni wewe umeandika hii kitu,ugamba umeacha lini mshiki
 
MMMHHHH....no comments...
ngoja niende kwa lowassa wangu mie..
 
Mwache CCM itakapopigwa chini na yeye kunyang'anywa mtoto ndio atajifunza kuwa ukuwadi kwa wanasiasa ni ugonjwa wa ukoma

Wakati wewe soja ukimuwazia Diamond kunyang'anywa mbegu/mtoto wake,wenzako wanapanga jinsi ya kuunganisha familia kihalali
 

Attachments

  • 1441049086611.jpg
    1441049086611.jpg
    65.1 KB · Views: 220
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!
 
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana

nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere

nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake

mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm

kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo
Chibu1.jpg Chibu2.jpg Chibu3.jpg
 
aulize marlow yuko wapi...siasa imempoteza kushadadia green team,
Acha uongo wako wewe! Kwenye ike kampeni Marlaw alikuwa peke yake? Diamond alikuwepo! Chege alikuwepo! Temba alikuwepo! Na wote hao hadi leo wapo! Mtu kaamua kutulia na wife wake nyie oh, kisa kaipigia kampeni CCM!!
 
Kwa kweli nmeboeka sana diamond alipotutukana sisi wanambadiliko
 
Kama ni swala la wakati basi hata wewe hiko unachokifanya leo hautakifanya na muda unamuhusu kila mtu.

Asiye sikia la mkuu huvunjika guu,usipoziba UFA utajenga ukuta. Time is the best judge no matter what........kichwa ngumu ni janga
 
Nea anashinda bakini na kampeni zenu kura tunaompa tipo wengi. Napenda muziki wake cjama atajua mwenyewe.
 
Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa
 
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!

Education is better than anything. Mushike sana elimu usimwache aende zake#AlwaysHaterWillstateTheNakedTruth
 
Back
Top Bottom