Diamond kila anapogusa moto

Diamond kila anapogusa moto

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
918
Reaction score
515
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana

nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere

nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake

mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm

kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo
 
Asubiri ICC ikija Tanzania imuunganishe katika mashtaka ya UCHOCHEZI anaouhubiri kila kukicha.
 
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana

nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere

nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake

mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm

kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo

Ah ah ah ah
Analooooh mwaka huuuu
 
Pindi nyinyi munahangaika kumshusha mwenzenu yupo huku
 
Attachments

  • 1441001839643.jpg
    1441001839643.jpg
    73.8 KB · Views: 1,768
Diamond akitaka kubakia na heshima yake,atumie sanaa ya mziki kupinga maovu ya ccm si kuipamba.
 
Back
Top Bottom