Diamond kila siku anatoa nyimbo mpya anazitoa wapi

Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Leo tarehe 30 keshatoa au tusubiri badae?
 
Scars, Alimselema Hadija ndo kitu gani? kama hujui kitu uliza....aleselema-aleja (kisukuma hicho).
 
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Kuzimu
 
Ananunua we Kama unajua kutunga vzr mtafute anakupa chako anafanya marekebisho then nyimbo inatoka
 
Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa

siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Bado hajamfikia Mbaraka mwishehe
 
Hajitambui bana kwani kutoa nyimbo siku hakukufanyi wewe star,Mondi aliulizwa narekani je umeshatoa albam ngapi Hadi sasa? Jamaa alishidwa kujibu kwa kuwa Hana hata moja.
 
Una studio, yaani huna kazi ukikuta tu beat studio unatembea nayo.
Na ndio kazi yake mziki tu. Ratiba zingine anaandaliwa na management so hana muda wa kuwaza mambo mengi.
ukiona vyaelea ujue vimeundwa dadae
 
Alikoipata Baba lao kupitia Soapy ndo anazipata na nyengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…