Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaachia Matakataka yanaoza Fasta..
Umenena... ata wachina wanazalisha bidhaa za hovyo hovyo lakn ndo hao hao wanazidi kuwa matajiri... akili kwa kichwa..Ndo yenye hela hayo boss [emoji16],hii game ukiwa nazi utasubr sana
Kwasababu hawajui mziki ndo mana nawawaza but kwa kuwaonea huruma DIAMOND BABA LAO.Unamuwaza kiba na harmonize
Ko kama ni mkigoma mwenzangu ndo ni muonee huruma wakati amezeeka na hajui kuimba na narudia kusema GENIUS DIAMOND BABA LAO.Huyo Kiba pia ni wa-Kigoma mwenzako achilia mbali Mtanzania mwenzako.
Leo tarehe 30 keshatoa au tusubiri badae?Huyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa
siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
This is how mumble verses areAlimselema Hadija ndo kitu gani? kama hujui kitu uliza....aleselema-aleja (kisukuma hicho).
KuzimuHuyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa
siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Bado hajamfikia Mbaraka mwisheheHuyu kijana anatungiwa au anaimba mwenyewe maana kila siku anaaachia tu Hit songs, mimi si haters bali Tanzania haijawahi pata mtu kama huyu jamaa
siku akitangulia itakuwa ni yale ya kanumba miaka 7 sasa Bongo movie ipo shimoni....cdle
Ulichosema ni uongo, ana album moja: A Boy from TandaleMondi aliulizwa narekani je umeshatoa albam ngapi Hadi sasa? Jamaa alishidwa kujibu kwa kuwa Hana hata moja.
Hata hivyo si anafanya muziki kama biashara?Kabisa , sasa hivi anapiga mziki trend na biashara zaidi
ukiona vyaelea ujue vimeundwa dadaeUna studio, yaani huna kazi ukikuta tu beat studio unatembea nayo.
Na ndio kazi yake mziki tu. Ratiba zingine anaandaliwa na management so hana muda wa kuwaza mambo mengi.